Andunje? ndiyo yupi huyo msaga sumu. Mangula na Kinana ndiyo wanaoijuia siasa ya bongo ndani nje.Mzee katuwa Zigo la misumari,halafu nimemuona msibani yule andunje waliesema ndio alimuwekea sumu.
Point of correction siasa ya CCM not bongoAndunje?ndiyo yupi huyo msaga sumu.Mangula na Kinana ndiyo wanaoijuia siasa ya bongo ndani nje.
Jinsi maccm wana roho mbaya unaweza kukuta anamvizia mzee wa watu ammalizie.Mzee katuwa Zigo la misumari,halafu nimemuona msibani yule andunje waliesema ndio alimuwekea sumu.
Nilimanisha CCM mkuu. Sema huwa nashindwa kutofautisha kati ya CCM na bongoPoint of correction siasa ya ccm not bongo
Madam President alimsikiliza umakini mkubwa,ukumbi ulitulia wakati mzee wa maadili akishusha mistari. Alimpigania Membe et al kuwa wapewe nafasi ya kusikilizwa,hoja zijibiwe kwa hoja,katiba ifuatwe... Akaishia hospitalini
Atajulia wap huyo si ajabu yuko anaishi kwa shemeji yake au yupo kwa wazazi nyumbaniWe kichaa hujui hayati ndo alimpa Mangula ulinzi kutoka TISS tangu akiwa hospitali? Pumbavu sana
Povu la nini ?We kichaa hujui hayati ndo alimpa Mangula ulinzi kutoka TISS tangu akiwa hospitali? Pumbavu sana
Mangula chamani anaitwa Doctor maadili 'mzee wa mafaili'Katika viongozi wa CCM, Mangula ana elimu bora sana! Akiwa katibu mkuu wa chama hatukuwahi kusikia vijembe kama vile vilivyoletwa na Makamba. Walipomuondoa, chama kikawa ni ngoma ya mdundiko na vijembe vya mitaani; tangu m/kiti, katibu na wafuasi chini yao, ukawa ni usanii tu!
Achana nao,safari hii wamelikoroga wenyewe. Kuna moja alikuwa kabanwa baada ya umeme wa mzee kupiga 'shoti'... Kalijifanya yeye ndo katiba... Mabeyo hoyeePovu la nini ?
Au wewe ndio yule andunje?
Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapukuKwa ufupi sana niseme CCM imebakiza mwanachama mmoja tu Mangulla, wengine ni watu Kibao kata kila mmoja anajali maslahi yake!