Mzee Maarifa

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,234
2,000
Wadau nisaidieni ,hivi nikitumia Doxi za uti siruhusiwi kula nini?
Lugha uliyotumia hapa usitegemee kukutana na jibu la kitaalam,kwanza heading ya uzi haieleweki kisha humo katikati ya sentence umechanganya herufi za kihuni kama doxi.

Rekebisha ulichokiandika hakuna doctor atapasuka kichwa kutafuta maana ya neno uliloandika hali ya kuwa humlipi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hasani mbaga

New Member
Feb 7, 2019
3
20
Lugha uliyotumia hapa usitegemee kukutana na jibu la kitaalam,kwanza heading ya uzi haieleweki kisha humo katikati ya sentence umechanganya herufi za kihuni kama doxi.

Rekebisha ulichokiandika hakuna doctor atapasuka kichwa kutafuta maana ya neno uliloandika hali ya kuwa humlipi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sawa natumia dawa ya doxycycline capsules , je, siruhusiwi kula chakula gani ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom