masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Pesa zilikuwa ni za kwake, alikuwa na uhuru nazo.Naomba nijulishwe tafadhali ikitokea siku huyu Mzee akaamua kujitokeza hadharani kutaja majina ya Vigogo wote walio pokea ule mgao wa zile fedha za Escrow na kuweka maburungutu ya hizo hela kwenye mifuko ya sandarusi, na kutokomea kusikojulikana
Mimi sijakataa! Tamaa yangu ni kuona tu na wale wengine tukiwafahamu. Maana akina Tibaijuka, Nyoka wa Makengeza, Maaskofu wa Katoliki, nk wanajulikana.Pesa zilikuwa ni za kwake, alikuwa na uhuru nazo.
MIAKA MITANO, serikali haijaweza kuthibitisha kuwa pesa ni za serikali.
Pengine ukiongea naye atakumegea.Mimi sijakataa! Tamaa yangu ni kuona tu na wale wengine tukiwafahamu. Maana akina Tibaijuka, Nyoka wa Makengeza, Maaskofu wa Katoliki, nk wanajulikana.
Vipi kuhusu Vigogo wa mifuko ya sandarusi?
Miaka minne/mitano , mliowapa madaraka wameshindwa kuthibitisha kuwa Lugemalira ni fisadi.Leo mnatetea mafisadi kweli watanzania ni wajinga wa kutupa
Kuna email ziliwekwa humu Ruge alizokuwa anamtumia Jakaya; ulizisoma?!Acha roho yako ya korosho kufikiri kila mwenye hela na tajiri ni fisadi.
Ulizipeleka mahakamani ili kukandamiza?Kuna email ziliwekwa humu Ruge alizokuwa anamtumia Jakaya; ulizisoma?!
Umeelewa ulichoulizwa?Ulizipeleka mahakamani ili kukandamiza?
Kwenye hii story ya Rugemalira,ukuu wa Mungu umeonekana.Hii sakata la Mzee Lugemalira limenifanya nifikiri sana juu ya uwezo mkubwa wa Mungu kuweka level playing field.
Mze Lugemalira baada ya kukaa ndani miaka mitano, ametolewa bila masharti yoyote.
Kukaa gerzani ni mateso, matesoyaliyo andaliwa na binadamu.
Cha ajabu wengi wa waliokuwa madarakani na kuamuru mzee Lugemalira kuwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka wamekwisha kutangulia mbele za Haki.
Hili fundisho viongozi wetu wasippojifunza, hawataelewa kamwe.
Tusijefikiri Lugemalira kashinda majaribu kwa uwezo wake mwenyewe, Mungu alikuwepo naye.
View attachment 1943275
Nimeupenda ujumbe huu!
Tukumbuke viongozi wote wanakula kapo wakishika vitabu vitakatifu.
Kukiuka viapo hivyo ni hatari.
Inapofanyika collusion baina ya mafisadi na wafanyabiashara unadhani utaprove vipi makosa.Miaka minne, mliowapa madaraka wameshindwa kuthibitisha kuwa Lugemalira ni fisadi.
Acha roho yako ya korosho kufikiri kila mwenye hela na tajiri ni fisadi.
Hayo ndiyo yaliyomshinda mwendake.
Tmia akili yako nawe utajirike.
Nakueleza hakuna watu rahisi kuwatawala kama watanzania. Si miaka 60 tu ya uhuru tupo hapa bali hata baada ya miaka 100 tutakuwa nyuma zaidi.Leo mnatetea mafisadi kweli watanzania ni wajinga wa kutupa
Nakueleza hakuna watu rahisi kuwatawala kama watanzania. Si miaka 60 tu ya uhuru tupo hapa bali hata baada ya miaka 100 tutakuwa nyuma zaidi.
Yaani mtu anatetea wezi, eti na kumzingizia Mungu katika ufisadi huu kuwa naye kaubariki. Kama wewe mtanzania unaufurahia ufisadi, unategemea Mama anayetaka umaarufu wa kisiasa afanye nini? Ni kuwaachia tu wezi ili 2025 ajihakikishie kura za mafisadi na wanaowaunga mkono.
Leo mnatetea mafisadi kweli watanzania ni wajinga wa kutupa
Fedha zilikuwa ni zake na zilihalalishwa na viongozi wa CCM, lakini deal haikuwa kosher. I mean alitumia mbinu za kifisadi kupata fedha bila kuacha ushahidi wa wazi juu yake. Lakini siungi mkono alivyotendewa. Kama hakukuwa na ushahidi wa wazi basi angeachiwa au waliohusika kufanikisha deal washughulikiwe. Na mwisho hili liwe fundisho kwa wafanyabiashara ''wajanja wajanja'' wanaoshirikiana na viongozi wa kisiasa kujitajirisha kwa njia ovu huku raia wakifa kwa kukosa huduma muhimu.Pesa zilikuwa ni za kwake, alikuwa na uhuru nazo.
MIAKA MITANO, serikali haijaweza kuthibitisha kuwa pesa ni za serikali.
Fedha zilikuwa ni zake na zilihalalishwa na viongozi wa CCM, lakini deal haikuwa kosher. I mean alitumia mbinu za kifisadi kupata fedha bila kuacha ushahidi wa wazi juu yake. Lakini siungi mkono alivyotendewa. Kama hakukuwa na ushahidi wa wazi basi angeachiwa au waliohusika kufanikisha deal washughulikiwe. Na mwisho hili liwe fundisho kwa wafanyabiashara ''wajanja wajanja'' wanaoshirikiana na viongozi wa kisiasa kujitajirisha kwa njia ovu huku raia wakifa kwa kukosa huduma muhimu.