Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.
 
Mmmmmh....!

======

Senior MemberArray

Join Date : 19th August 2015
Posts : 175
Rep Power : 339
Likes Received107
Likes Given1
 
Ni kweli siasa bana kama huzifahamu utaumia bure
 
Ndo type ya vijana wa tanzania hiyo, wao hudhani kila kitu ni utani watu wapo serious, ndo maana kazi hatwezi, elimu hatuwezi kwa sababu kila kitu tunafhani ni utani, unafikiri lowasa ameenda chadema kutania..jinga kabisa
 
Kumekuwa na kila dalili ya mzee Lowasa kujiunga CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana na hofu yake ya kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi. Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamemtaka mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu ni vema akarejea ktk chama chake ili kuweka mambo sawa kwa baadae tofauti na hapo hali yake kimaisha inaweza kubadilika sana.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa kujiunga na Chadema ni mojawapo ya mikakati ya muda mrefu ya CCM ktka kujiimarisha na kuongeza ushindi.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais pia ni mkakati wa muda mrefu ulioandaliwa na CCM ktk kujihakikishia ushindi tofaiti na mitazamo ya watu, wanasema Magufuli aliandaliwa sawasawa na si vinginevyo.
Kwa mazingira hayo chadema inaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kufa, poleni sana ndungu zetu wa chadema.

Vijana wa viroba hawawezi kukuelewa hata siku moja hadi baada ya oktoba mzee lakin ukweli ndo huo
 
Mmmmmh....!

======

Senior MemberArray

Join Date : 19th August 2015
Posts : 175
Rep Power : 339
Likes Received107
Likes Given1

mkuu ndio anajifundisha kuposti hivo ila ni poyoyo
 
We nenda kasome kijitabu cha mwandosya ujue ukweli maana hapa mode washatoa nadhani kwa amri kutoka juu
 
Back
Top Bottom