Mzee kipara afariki Dunia

Bila shaka wewe unahitajika kwa Hospital utibiwe Akili hujui unaloliongea kwa Ubepari wenu mliokuwa mwataka kuufanya ambo ndio matokeo yake sasa hivi hawa mafisadi wanaochukiza ndio wanaona Furaha ati angekuwa na Magorofa saba kwa njia ipi?

So nyie mafisadi wezi mwataka kuwatumia wasanii kwa kuwadanganya kuwa wengekuwa matajiri ni njia ya kuchukia Azimio la Arusha kha wewe hakika ni Mchafu... Muwache babu apumzike usije mkera huko aendako akukulaani hapo ulipo..

Kukosekana kwa Azimio la Arusha haukuhusiani na Wasanii waigizaji Azimio la Arusha lilikuwa na Misingi mizuri lingendelea leo kusingekuwa na Kitu kinachoitwa Ufisadi.. na wewe usingekuwa Fisadi ni Mfumo unaotumika China Mafisadi nyote nyie mngeshanyongwa ... Umenikera!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…