Kanavu
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 124
- 90
Bibi alikua bintiKweli nmeamini hata bibi alikua bikra..ujana ni fursa bekee sana
Bibi alikua bintiKweli nmeamini hata bibi alikua bikra..ujana ni fursa bekee sana
hahhah wajukuu hawatakanyaga kwako maana itakua wakikuona tu wanaliaKama kingunge alikuwa handsome hivi Mimi nikizeeka itakuwa aje aise.
Tengua kauli Huyo ni bibi yako sio dadaHuyu dada km salama jabir
Hebu muweke hapa tumuoneWanawake wazuri nyusi zao hawazichezei kama mke wangu mzuri sana
Sema tuu wanawaume mafisi wakubwa sana
Asia ndo wapi mkuu! Ngoja ni mgoogle tuAsia hv