Nakumbuka undugu wake na Membe unatokana kuwa Membe ana undugu na Mke wa Kikwete!.....Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza
CHANZO: Mwanachi Instagram
Yaani huyo mwanaume wa chadema aliyekuacha alikuachia kovu lisilopona. Jifunze kuachika, na kuendelea na maisha mengine!!Chadema walituongopea sana
Sasa si bora hata ya hao Chadema! Nyinyi miaka nenda mnawadanganya tu Watanzania wasio na elimu ya uraia! Eti wakichagua upinzani, kutatokea vita!Chadema walituongopea sana
Au Membe ndio anaandaliwa 2025?Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza
CHANZO: Mwanachi Instagram
--
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza.
Akizungumza leo Oktoba 07, 2022 na Clouds Media Group ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 72 Kikwete amesema huwa anashangaa kusikia kwamba Membe ni ndugu yake.
“Huu undugu huwa siuelewi, Membe sio ndugu yangu yeye Mmwera, mie Mkwere sasa undugu huo vipi. Membe nilikuja kufahamiana naye baadaye sana katika harakati za kazi.”
Ukifuata hayoo madam! utakuta hata sisi wote ni wa baba mmoja Adamuuu baasi! km mdingi wake kikwete alichepuka kivyake basi ajijue kivyake ivoivo pia!Ametuongopea, labda baba yao angesema hayo
Nafikiri ndiye alimtoa seal na kumtundika mimba na kumtema.Yaani huyo mwanaume wa chadema aliyekuacha alikuachia kovu lisilopona. Jifunze kuachika, na kuendelea na maisha mengine!!
Ila Marehemu Reginald Mengi naye alitumika.kiboya sana kueneza propaganda zile.Sasa si bora hata ya hao Chadema! Nyinyi miaka nenda mnawadanganya tubWatanzania wasio na elimu ya uraia! Eti wakichagua upinzani, kutatokea vita!
Halafu mnaenda kuchukua ili muvi ya mauaji ya halaiki ya Rwanda (Hotel Kigali) kama reference, na wenyewe eti wanaamini!
[emoji441]Sote ni ndugu[emoji449][emoji449][emoji449][emoji448][emoji443] , Watoto wa baba mmoja. [emoji445][emoji445][emoji445]🪘Ok ameeleweka.
Sisi sote ni ndugu - Innocent Galinoma.
DNA zinasemajeRais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza.