Mzee Kikwete anawasalimuni

Kwakweli sikua na mapenzi na KIKWETE,,,ila kwa hali ya nchi ilivyo natamani arejee IKULU hata Kesho.

Baba tunakukumbuka.
"HATA BAADO HUJANUNAA....."Jahazi modern
 
Salamu hizi zimfikie Lowasa,UKAWA na Bawacha. Kikwete alikuwa chaguo la Mungu na sasa katuletea chaguo la Mungu asante Mh JK.
Wamesahau walikua wanasema ni dhaifu,kweli hawa ni vichwa vya kuku
 
Huyu jamaa alikua mjanja mjanja sana
Sasahivi anamuangalia Magu anavyojikanyaga kanyaga anabaki kumcheka tu
 
KIKWETE HAONEKAN KM NI MZEE BALI UNCLE MWENYE KAYA UTADHAN ANA MIAKA 70 ALIVYOZEEKA KUONGOZA WATU MIL 50 SIYO MCHEZO
 
mkuu mleta mada tafadhali naomba nipe siri ya ujana wa Mh.Kikwete.he's very smart. du!kama ana 40 tu.Allah amjaalie Afya njema na Umri mrefu
 
Huyu Jamaa anapiga PAMBA ile mbaya na anapendeza hata my wife wake ana nuru ya kupendwa na watu hasa kina MAMA.
Ngoja tumshawishi agombee kupitia ACT....kama vile Hillary
 
Ni jambo zuri, tunamshukuru na sasa tunasonga na awamu mpya.
 
Kwakweli sikua na mapenzi na KIKWETE,,,ila kwa hali ya nchi ilivyo natamani arejee IKULU hata Kesho.

Baba tunakukumbuka.

Unafikiri ni wewe tu, mko wengi sana.
Hampendi baridi hampendi moto, nahisi hata vuguvugu hamtoipenda...
 
Mwanadiplomasia angekamata usukani muda huu dual citizenship tayari. Sasa, daaah! Wacha nikusapoti tu, tumepoteza kama tulivyompoteza salim miaka ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…