Mzee kaingia cha kike

vijana tafuteni pesa acheni kushambulia ndoa ya huyo babu, nyie wenyewe wengi wenu hamuoi mkongo ndio zenu na mguvu hakuna vile vile
 
Kutokana na komenti hiyo, Ninaomba radhi kwa mzee Mrema binafsi na mkewe mpya, Kwako wewe mkuu Pohamba, wana JF na wote waliokwazika kutokana na maudhui ya komenti hiyo. Mungu anisamehe!
 
Kutokana na komenti hiyo, Ninaomba radhi kwa mzee Mrema binafsi na mkewe mpya, Kwako wewe mkuu Pohamba, wana JF na wote waliokwazika kutokana na maudhui ya komenti hiyo. Mungu anisamehe!
Nimefarijika sana kwa comment yako…Mungu atupe mwisho mwema sote na tuwe na staha katika comments zetu ili tusivule mipaka
 
huyo dada inaelekea anapenda drama, sasa kumlisha mzee wetu ilihitaji camera kweli??? umenichekesha na posti yako mkuu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Huyu mzee kaamua kujiua mapema sijui dunia imemkosea nini.

Hilo lidemu lake litakuwa linaliwa tigo hadharani mwishowe mzee presha itazidi atakata kauli!
Nilitaka nikutukane ila nikaona nitakuwa mpumbavu kuliko wewe. Hayo matusi huyo mama kakukosea Nini? Kwenu hakuna wanawake? Hovyo kabisa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…