Mzee Kabwanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Kabwanga

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mzee Kabwanga, Jun 1, 2012.

 1. M

  Mzee Kabwanga Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  MKATABA WA HALI BORA WA WAFANYAKAZI TANZATE ONE WAELEKEA KUSAINIWA NA MENEJIMENTI. Hivi ni wakati gani kisheria mwajiri anatakiwa kusaini mkataba wa hali bora kwa wafanyakazi ? Maana huu wa wafanyakazi wa Tanzanite one umechukua muda mrefu kusainiwa takiribani miaka 3 .
   
Loading...