Mzee James Rugemalila atoa mil.200/- katika mahafali ya tatu ya Shule ya Sekondari ya Kajumulo girls

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,379
4,900
Kuna mwizi anagawa fedha za wizi hadharani? Hii ilikuwa machi mbona haikusemwa wakati huo lakini leo watu wanatoa mapovu kana kwamba ndio mara ya kwanza kusikia michango mikubwa?

 
Hii ni sawa na kujaribu kufua toilet paper au con...do...mu iliyotumika ili uitumie tena. Hatudanganyiki ng'ooooo
 
Mama Tibaijuka tulia subiri kama mkuu ana maamuzi mengine. Utajisafisha vipi na uchafu umekuganda kama luba?
 
Aisee ili sakata nikiwa ndani ya Bongo nikajikuta naingia kwenye ukachelo bila ya kutegemea.Maswali kwa baadhiya walioibiwa fedha(wananchi)wengi wao ile siku za mwanzoni walikuwa wanajaziba la kwa nini....
Nikikita zaidi haswa baada ya Bunge wengi wao wqako baridi utazani hakuna kilicho jili
Lkn waliomakini wanahoji na kutoa duku duku lao
 
Mmmh! "mshauri wa kujitegemea wa kimataifa" dah vyeo viko vingi! Hichi nacho ni kile cha heshima au cha cheti?
 
Kwa hiyo hii TShs. 200,000,000/= ni mbali na ile dola milion moja aliopewa Tibaijuka..? Halafu ninaona mgeni rasmi alikuwa MD wa benki ya Ukombozi.. Huyu MD nae amekosa kweli ganji..?
 
Swali ni kwa nini hiyo pesa imetolewa kama zawadi kwa shule inayomilikiwa na kiongozi mkubwa wa serikali? Kama ni uhitaji wa watoto kwani hapo hapo jirani hakuna shule za kata? hizi hazina uhitaji kuliko hii (ambayo ni private, na presumably ghali zaidi)?
 
Kwani mtu akitoa mahela yake kuchangia shule kuna tatizo? Sioni hoja hapa. Halafu naona ni wivu tu unawasumbua baadhi ya watu.
 
tulipokuwa wadogo
kulikuwa kuna majani ya miti inayoitwa mi mavi mavi
majani hayo ukisugua huacha harufu ya mavi
lakini mikono yako itaendelea kunuka mavi
 
Nilikuwa nakuona kichwa mwanzisha mada kumbe nilikosea .....kwa hiyo habari uliyoweka na waliomo ambao pia wamo kwenye Escrow hapa hutetei mtu bali unasaidia viwavi waunganishe doti vizuri .........:confused2:
 
Kwa hiyo hii TShs. 200,000,000/= ni mbali na ile dola milion moja aliopewa Tibaijuka..? Halafu ninaona mgeni rasmi alikuwa MD wa benki ya Ukombozi.. Huyu MD nae amekosa kweli ganji..?

hii ilikuwa shule nyingine tofauti na ile ya 1.6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…