Mzee James Rugemalila atoa mil.200/- katika mahafali ya tatu ya Shule ya Sekondari ya Kajumulo girls

Nilikuwa nakuona kichwa mwanzisha mada kumbe nilikosea .....kwa hiyo habari uliyoweka na waliomo ambao pia wamo kwenye Escrow hapa hutetei mtu bali unasaidia viwavi waunganishe doti vizuri .........:confused2:

Hoja inapingwa kwa hoja. So far hakuna mtu yoyote aliyethibitisha kuwa fedha za rugemalira ni haramu. Na ushahidi ndio huu kuwa kumbe alikuwa alikuwa anatoa misaada hadharani.
 
Dah, huwa nakumbuka mbali sana hasa kwa hii michango ya wanachama humu ndani.
 
Back
Top Bottom