Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Salaaammzz,
kama kawaida Mzee wetu Mh. Jaji Warioba leo saa tatu uusiku atakuwa ndani ya nyumba ya ITV akiendelea kukandamiza dozi mpaka mgonjwa apone. Atakuwa akituletea ufafanuzi wa hoja potofu mbalimbali zilizozushwa na wachumia tumbo kwa maslahi yao binafsi huku wakisingizia uzalendo na jeshi.
Akiwa na takwimu na hoja zenye mashiko atakuwa na fursa ya kuwaelimisha wananchi wooote na wapenda amani na maendeleo umuhimu na maantiki ya rasimu ya pili.
Stay tuned kwa live updates na mtaarifu mwana ukombozi mwingine hasa Watanganyika wenzetu amabao walipumbazwa na wapotoshaji.