Mzee huyu ni baba yake nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee huyu ni baba yake nani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jul 4, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,126
  Trophy Points: 280
  Jamaa kaingia chuo katikati ya simesta kaishiwa akamuandikia baba yake barua.

  'Chuoni mambo mazuri sana, kuna maajabu hapa maprofesa hapa wamegundua njia ya kufundisha mbwa kuongea, mlete Bobi na shilingi laki 5, baada ya muda atakuwa anaweza kuongea. Mzee wa watu haraka akatuma mkwanja na mbwa, haikuchukua muda mkwanja ukaisha.

  Denti akamtumia baba yake barua nyingine kuwa wameboresha program sas
  a wanaweza kumfundisha mbwa kusoma, mzee aongeze kimilioni tu. Mzee wa watu aliyekuwa tayari anajisifu kijiji kizima akauza ng'ombe akatuma mkwanja. Likizo ikafika Denti akabaki anawaza anaenda kumwambia nini baba yake. Alipofika tu baba yake akamuulizia Bobi wake.

  Denti akamuita baba yake pembeni,' Baba hili nitakalokwambia sitaki mama asikie'. Baba akauliza,'Vipi tena?'. Denti akaanza,' Jumapili iliyopita tumeamka vizuri na Bobi, yeye kama kawaida yake akaenda kuchukua gazeti la Mzalendo na kukaa kwenye kiti na kuanza kusoma, ghafla wakati anasoma akaniita akanambia hivi baba yako bado anaendelea na kale kachangudoa ka pale mtaa wa pili? Nilishtuka'.

  Baba akaingilia kati,'Ungemuua hapo hapo mbwa mshenzi huyu anataka kuniharibia mambo yangu?', Denti akajibu,'Baba na mimi lilinijia wazo hilohilo sikumchelewesha nikamtwanga nyundo ya kichwa'. Baba akamsifu mwanae'Safi sana safi sana mwanangu'
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Bujibuji........napata picha hii imekutokea
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Hv Platozoom upo kweli?
  Maumivu yako ya kiuno yameshapona?
  Kama bado nitafute.
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Buji huachi vituko tu?
  Huyo lazima ni yule Ustaadhi aliyemteka Ulimboka
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280

  Nakutafuta ....kiuno bado kinasumbua, lakini ngoja kwanza nikapige cha Tarime si unajua matibabu yanahitaji nafasi.
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Waooo..!!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  huyu dingi namjua.....
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  ?????????????????????????????
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,126
  Trophy Points: 280
  nti gulunde gwa mbeho
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmmmhhhhhh
   
 12. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  haaaaaaaaa!
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh ! ! ! !
   
Loading...