Kaputupu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,486
- 1,179
kweli wewe akili yako ipo kama ID yako.
hehehehe mkuuu umenifanya nicheke kwa sauti yaaaaani
kweli wewe akili yako ipo kama ID yako.
Mbowe ni mzee? Hapa anaongelewa mzee mla mihogo mwenye mchumba.
Wana MMU kama wazee wamekuwa hivi je wajukuu na vijana itakuwaje...Kuna mzee mmoja hapa mtaani
kwetu ni mtu hatari sana!
Aliambiwa achague kati ya
Mungu na demu akachagua
demu.Akaambiwa achague kati
ya PESA na MABADILIKO mzee
fasta kachagua pesa!Duh
ndio nani hyo
kweli wewe akili yako ipo kama ID yako.
Kwakweli sijui hili tulilisahau vipi, itabidi serikali sikivu ya Chadema tuikumbushe hili liwepo kwenye katiba.itabidi katiba iweke ukomo wa uchumba...