Mzee Gurumo hoi muhimbili

Mzee Gurumo hoi muhimbili

jamani jamani heading si inasomeka Gurumo

Iko edited kama umefuatilia uzi vizuri hata muandika thread ameni quote na kukiri kwamba sio Ngurumo kama alivyoandika mwanzo,Usikurupuke soma za wenzio na jitahidi kutokosoa uzi ulioandikwa edited
 
Wewe nawe kama kusoma hujui si utazame hata picha? unashindwa kujiongeza?

Usikurupuke angalia comment yangu ilikua ya ngapi au muulize tofali mwanzoni aliandikaje?unaona kabisa uzi uko edited alafu unadandia treni kwa mbele,sasa mimi na wewe anaetakiwa kujiongeza nani?kama ungekua sio mvivu ungesoma comment inayofuatia kabla ujani quote ungeona muandika thread anasemaje.
 
Last edited by a moderator:
Anayeweza atuwekee link ya wimbo wake japo mmoja kutuvuta hisia zaidi!
 
Kwa mujibu wa chanzo changu cha uhakika...yuko hoi hali si nzuri..anashindwa kupumua vizuri..kutokana na tatzo la mapafu.tumuombee Mungu amponye mwanamuziki wetu mkongwe
. Jambo la msingi ni kumuombea apate wepesi wa kupona
 
Mkuu Zogwale, nimewahi kuomba contact za Mzee Small ili niangalie jinsi ya kumsaidia lakini sikupata jibu kupitia hapa Jf. Je inawezekana unazo contact zake? Nimewahi kufanya kazi na huyu Mzee na ninajisikia kuwiwa kumsaidia.

Tiba
Mkuu sina contact zale Mzee small. Ila ninaamini kuwa ukiweka tena thread kuhusu contact zake unaweza fanikiwa kuzipata. Wakuu mwenye contact details za mzee small au namba za mtu wake wa aribu mnaweza kumpatia Tiba ili afanye mawasiliano. Yule mzee hali ni mbaya kuanzia malazi, chakula na matibabu.
 
Mkuu hii ilikuwa ni mara ya tatu kuulizia contact details za huyu Mzee Small lakini mpaka leo sijapewa ushirikiano. Ngoja tusubiri labda anaweza kujitokeza mtu na kutwambia angalau anakaa maeneo gani ili niende mitaa ile niulizie.

Mkuu ukisikia, tafadhali nishtue hata kama ni kwa PM.

Mzee Small anaishi Tabata Kimanga (Mawenzi) panda Daladala T/KIMANGA, teremka njia panda, utakuta boda boda waambie wakupeleke kwa Mzee Small maeneo ya Mandela-Chini. Utamkuta pale bado anaumwa.
 
Mzee Small anaishi Tabata Kimanga (Mawenzi) panda Daladala T/KIMANGA, teremka njia panda, utakuta boda boda waambie wakupeleke kwa Mzee Small maeneo ya Mandela-Chini. Utamkuta pale bado anaumwa.
Manya thanks Mkuu Bubu Msemahovyo. Ndugu Tiba naona hili litakusaidia sana. Ngoja nichote kwa hisani ya BM nikupelekee PM. Again shukrani sana BM.
 
Back
Top Bottom