chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
acha hako kamtunze mzee
Jitu zima ovyooo.
imagine a scenario where Eddie is a regular negro working @ MacDonald or 711, do u think he would be doing this high-mtc chick? not in a zillion years. that's that.U mean Eddy cant be loved for any other reasons other than his Money and Fame? U actually mean he is not lovable?
Nakubaliana nawe miaka 28 mbona huku TZ angekuwa Mama wa si chini ya watoto watatu sema Dada wa watu katulia haonekani anaendana na umri wake afterall 50s ni umri ambao mwanaume ametulia lets pray for their best hongera Edi kwa kuopoa kimwana:clap2:Kitu cha uhakika na wala si kitoto kidogo, size yake. Waoane waache uzinzi.
tatizo la wazungu ni mihogo ya watu weusi, wanaipenda kwelikweli. kwa wale walioishi ulaya au america, wanajua namna mzungu anavyopenda kudandiwa na mtu mweusi kuliko mzungu mwenzie,....kipo kitu ambacho sisi black Mungu ametupatia cha pekee ambacho hata wazungu hawana....hapo uzee mnauona nyie, mwenzenu anaona wako sawa tu, na kipo alichokifuata hapo.
Eh, kumbe ni yule mdada wa kile kipindi, eh, lol!
Jitu zima ovyooo.
Mbona yule aliye mrest in peace mwenzake hapa bongo movie Kisutu imeshindwa kujua umri wake hamkasemi kama ni kadogo. Kuangalia size ni kwenye viatu tu, huku kwingine zinajipimaga zenyewe, ukikuta oversize unasepa bila kuaga!