Mzee Duni Haji: Kwa mara ya kwanza ndio nimeshuhudia Mkutano wa Siasa Meza kuu Wamejaa Maaskofu, Mapadre na Wachungaji, CHADEMA ni Wadini!!

Zitto kashavuta chake mapema
 
kumbe mwinyi ni mzaramo...Duni ni balaa na nusu, mkabila na mbaguzi mbobevu,
 
ACt ndo chama cha udini kama CUF Ndomana viongozi wote waliotoka CUF Walikimbilia Act kwa Zubeli.
 
 
Hebu niulize hawa CDM walialika viongoz wa dini zote au walichagua wakristo pekee? Akina mmawia na wenzake watupe fact kama viongoz wa dini nyingine walialikwa wakakataa ama hawakualikwa?
 
makuwadi ya dpworld mwambieni mamayenu arudishe hela za warabu alizohongwa ili kugawa bandar zetu kwa wajomba zake halafu nyie mabwabwa ya ccm mliokosa mwelekeo jiandaen 2025 mnanyolewa bila maji wajinga nyinyi wafuas wa majiz ya kura.
Mnadai bei gani arudishe?
 
Kwanini bwashee?

Duni ameuliza " Kwanini Mbowe alisema Rais Mzanzibari, Waziri Mzanzibari na Katibu mkuu ni Mzanzibari?!"
kwa hio sio wazanzibar ni wa wapi kama sio wazanzibar, huyo duni aendelee na chama chake cha waislam wa zanzibar hata mikutano yao kila siku zanzibar maana huku bara hawawez kupata hata diwani.
 
Amesahau cuf ilikua inaongozwa na kiongozi WA dini kabisa hayati maalim seif
 
Duni ana akili duni, mbona kwenye mikutano yao huwa tunaona vibandiko tu
 
Mwambie hiyo tilifu ya udini mnayotumia haitawaacha Sala, Zanzibar wapiga kura wapo laki nne tu.
 
Mtu akishaitwa Duni unategemea haya:

Akili duni
Fikra duni
Mtazamo duni
Mawazo duni

Huyo ni Duni hata mtu kumfuatilia mpaka kuleta uzi hapa naye ni duni
 
Amesahau kuwa hata rais hujitambulisha kuwa ni Mzanzibari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…