palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa
Apumzike kwa amani.
Alikuwa mmoja wa waasisi wa uandishi Tanzania, na atakumbukwa na wadau wa habari na wananchi kwa ujumla.
Wanahabari wa enzi zile, hata hivyo, hawakupata nafasi ya ku live up to their full potential. Walikuwa wanatumikia a state-run press under Nyerere regime, a semi-autocratic ruler who tolerated little objectivity or criticism in news coverage.
Hivyo, mwanahabari wa Radio Tanzania ya David Wakati hakuwa mtu huru, na mwandishi asiye huru ni mwandishi ovyo. Waandishi wote wa zama zile za David Wakati wakawa waandishi ovyo, japo si kosa lao.[/QUOhhuna maana. Kama halikuwa kosa lao unawalaumu nini?walikuwa sahihi kwa wakati wao!
Kufuatia kifo cha Mtangazaji Mkongwe nchini Mzee David Wakati, Mwanae wa kwanza, Mandela David Wakati, amezungumzia kifo cha baba yake kama alivyohojiwa na Hassan Mhelela wa BBC Swahili.
Pia mtangazaji mkongwe mwingine, Danstan Tido Mhando nae ametoa wasifu wa Mzee David Wakati katika mahojiano hayo.
Mandela na nduguzo, poleni sana!
RIP Mzee David Wakati!.
Pasco.
Attachment inafuatia...
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa
Nimeeleza fact, sijawalaumu. Nimesema waandishi wa wakati wa utawala wa kifalme wa Mwalimu Nyerere hawakupata nafasi ya kuwa waandishi huru. Na mwandishi asiye huru ni mwandishi mbovu. Ulikuwa huwezi kuleta chokochoko za u-objectivity kwenye radio Tanzania ya Mwalimu Nyerere.hhuna maana. Kama halikuwa kosa lao unawalaumu nini?walikuwa sahihi kwa wakati wao!