Apumzike kwa amani.
Alikuwa mmoja wa waasisi wa uandishi Tanzania, na atakumbukwa na wadau wa habari na wananchi kwa ujumla.
Wanahabari wa enzi zile, hata hivyo, hawakupata nafasi ya ku live up to their full potential. Walikuwa wanatumikia a state-run press under Nyerere regime, a semi-autocratic ruler who tolerated little objectivity or criticism in news coverage.
Hivyo, mwanahabari wa Radio Tanzania ya David Wakati hakuwa mtu huru, na mwandishi asiye huru ni mwandishi ovyo. Waandishi wote wa zama zile za David Wakati wakawa waandishi ovyo, japo si kosa lao.