mahali panapostahili sawa,kama alitenda mema apokele kam alimwasi mungu basi aende panapofaa.ila nji amoja hapana maana njia yake uijui ndugu yangu mzee sawa sawa?nadhani umenielewa
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!! Bwana ametoa na Bwana ametwaa
R.I.P David Wakati. Our thoughts are with his family during these difficult times of the loss of their beloved son, borther, husband, father, grandfather, friend, comrade.
Nafikiri katika kuomboleza ndugu yetu David Wakati watu wafuatao watakuwa Uncle J (Julius Nyaisanga), Jacob Tesha, Mikidadi Mahamoud, Godfrey Mngodo, Eda Sanga, Ahmed Kipozi. Wengine waweza kuongeza kwa watu tuliokuwa tukisikilisa RTD enzi hizo. RIP David Wakati
A sad day indeed; tumempoteza mmoja wa watu ambao walikuwa na maoni ambayo yaliweza kufanya watu watafakari. Alikuwa anafanya yale "Mazungumzo baada ya Habari" na kweli alikuwa anafikirisha. Zile dakika tano zilizofuatia baada ya taarifa ya habari na kabla ya kipindi cha Michezo zilikuwa zinagusa sana fikra. Sweet memories - RIP DW