maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,277
- 5,517
Alishaacha ya dunia akaokoka na kumtumikia Yesu Kristo..nilitamani uweke na hizo za dini katika list yako ya favouritesNampenda,Kumuheshimu na kumfurahia kazi zake kila siku mzee Cosmas Chidumule,mimi kwangu sauti yake ni sauti ya dhahabu,zaidi ya TID,Q chief, Linex na wengine wengi......
Kuna nyimbo zake nyingi nimezisikiliza,na ninayoipenda mno ni, Neema, na usitumie Pesa Kama fimbo Baba..... hizi zipo kwenye simu yangu, Tablet,Laptop,kwenye flas kwenye Gari na nyumbani,it is every where in my Life....
najaribu kumfananisha na wengine kama kina marehemu Marijani Rajabu, na Hemed Manet na naona wana tofauti, kuanzia sauti had maudhui.....huyu chidumule aliacha muziki mapema na kuhamia kwenye dini ila kidunia angekua ametoa nyimbo nyingi na nzuri mno....
alikua akiibeba DDC vilivyo,inasemekana huo wa usitumie pesa kama fimbo naskia alimtungia kigogo mmoja wa serikali ambae miaka hiyo ya 81 had 83 alikua akitumia nguvu nyingi ya pesa kumtaka mwanamke wa chidumule( ni mke wake hadi sasa)
Nilikua nahisi huyo Kigogo ni Baba yake Madame,lakini kuna watu wanasema sio yeye,naomba mwenye uhakika atujuze hapa.
link ya pesa ndo hiyo hapo
Hawamjui Chidumule ni nani kwenye tasnia ya mziki Tanzanite...hizi thread za kiutu uzima zingefaa kule Entertainment nahisi,huku wabongo fleva wamejaa uchakubimbi tu!
katika nyimbo zake za dini ndo yeye alieimba yesu ni bwana.(siku zote tunaimba sieeee..Yesu ni bwanaaa!! hata leo tunaimba tenaaa...Yesu ni bwanaa!!)Hawamjui Chidumule ni nani kwenye tasnia ya mziki Tanzanite
Yeah na ile yakatika nyimbo zake za dini ndo yeye alieimba yesu ni bwana.(siku zote tunaimba sieeee..Yesu ni bwanaaa!! hata leo tunaimba tenaaa...Yesu ni bwanaa!!)
Kila hufanya maamumuzi yake kwenye maisha mkuu...kwa namna itakavyompendeza....Chidumule ni kama alilima wee ilipofika wakati wa kuvuna akasusa shamba
mziki wake ni very very unique
wimbo wa Neema kila alie urudia alishindwa kuuimba vizuri
Ntapataje wimbo huu tafathali +254716788792 whatsappYeah na ile ya
Libarikiwe neno hiili, la uzimaa wa roho
Pembe zote za nchi na duniani kote
Likaenee injili ya uzima wa rohonii
Neno hili liponye nafsi zote zilizo bado gizani. .......