GE2025 Mzee Butiku: Mchakato wa kupata Mgombea urais CCM mwaka 2025 ulikiuka taratibu za Chama, Lakini tunazidi kukua kama Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
734
Reaction score
2,271
Akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kinachorushwa live leo tarehe 23 mwezi wa 07 mwaka 2025 ,Mzee butiku amesema

Mosi,Utaratibu uliotumika kupata mgombea wa urais wa chama mwaka 2025 ulikosewa na haupo kikatiba ndani ya ccm,Alishangaa wajumbe kulazimisha hoja halafu baadae ndio wakaanza kubariki maamuzi kwa kufuata mtiririko unavyotaka

Pili,Mzee Butiku amesisitiza Rais Samia yeye alionekana kusita kupitishwa lakini kuna Mzee mzoefu alisema ngoja amsaidie kuongea hapa hajamtaja ni Mzee gani aliyemsaidia Rais kutetea hoja ya kupitishwa na Mzee huyo ndio alionekana kubariki taratibu kinyume cha taratibu za chama

Tatu,Mzee Butiku anasema na alishangaa kuwa kuna wazee wazoefu ndani ya chama na ambao walikaa nyuma ya mwenyekiti lakini hawakumuambia utaratibu ukoje ili kutoa demokrasia kwa wagombea wengine

Nne ,Mzee Butiku amesisitiza tatizo la kukiuka taratibu lililotokea ndani ya chama cha ccm linarekebishika kwani Taifa letu ni changa na tunajifunza kwa makosa.

Akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kinachorushwa live leo tarehe 23 mwezi wa 07 mwaka 2025 ,Mzee butiku amesema

Mosi,Utaratibu uliotumika kupata mgombea wa urais wa chama mwaka 2025 ulikosewa na haupo

Pili,Mzee Butiku amesisitiza Rais Samia yeye alionekana kusita kupitishwa lakini kuna Mzee mzoefu alisema ngoja amsaidie kuongea hapa hajamtaja ni Mzee gani aliyemsaidia Rais kutetea hoja ya kupitishwa
Fikra za Mzee butiku zimechoka sana, na ni aibu mno kwa mzee kama huyo kua mnafiki 🐒
 
Akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kinachorushwa live leo tarehe 23 mwezi wa 07 mwaka 2025 ,Mzee butiku amesema

Mosi,Utaratibu uliotumika kupata mgombea wa urais wa chama mwaka 2025 ulikosewa na haupo kikatiba ndani ya ccm,Alishangaa wajumbe kulazimisha hoja halafu baadae ndio wakaanza kubariki maamuzi kwa kufuata mtiririko unavyotaka

Pili,Mzee Butiku amesisitiza Rais Samia yeye alionekana kusita kupitishwa lakini kuna Mzee mzoefu alisema ngoja amsaidie kuongea hapa hajamtaja ni Mzee gani aliyemsaidia Rais kutetea hoja ya kupitishwa na Mzee huyo ndio alionekana kubariki taratibu kinyume cha taratibu za chama

Tatu,Mzee Butiku anasema na alishangaa kuwa kuna wazee wazoefu ndani ya chama na ambao walikaa nyuma ya mwenyekiti lakini hawakumuambia utaratibu ukoje ili kutoa demokrasia kwa wagombea wengine

Nne ,Mzee Butiku amesisitiza tatizo la kukiuka taratibu lililotokea ndani ya chama cha ccm linarekebishika kwani Taifa letu ni changa na tunajifunza kwa makosa

Moderators,Title ni mchakato
Taifa lina miaka 60+, ndani ya mfumo wa vyama vingi chaguzi zisizopingua 6 halafu bado hata taratibu za kupata mgombea hatujazijua. Sisi ni kisirani 😂😂😂😂😂😂
 
Mbona matusi haraka hivi, ungesubiri comment hata tatu nne, hata hivyo,,, mnafiki tena !!!!!!!!!
ukweli mtupu dhidi ya unafiki wa huyo mzee ambae ni wazi fikra zimechoka umekua tusi tena gentleman?

au chuki binafsi dhidi ya ukweli?🐒
 
Back
Top Bottom