McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), aliyetoa wito wa jeshi kuchukua hatua dhidi ya Serikali.
"Nilimuona ana ndevu. Pili amevaa nguo ya Jeshi mpaka shingoni na tatu anasemea Tanga. Niseme mimi nimepita Jeshini, hatuna uniform hiyo. Kwa hiyo sio Askari na kama ni askari ana Jeshi lake jingine na sipendi kuamini ndani ya Jeshi letu kuna watu wa aina hiyo"