Mzee Billionaire wa miaka 94 kuoa tena

hao mademu wakubali kuolewa sababu ya mpunga tu .. kweli pesa sabuni ya roho
 
kwa anayeolewa na huyo kibabu wala hana kazi kubwa! Ni kukabembeleza tu hicho kibabu kikipata usingizi issue closed!
 
Angekuwa anaoa watu wa rice mbalimbali angeshangaza ila kwa analofanya hata babu yangu alifanya
 
Kama alivyosema jamaa hapo juu, kazi ya kasichana haka ni kukabembeleza ka babu, kakilala anatoka na kwenda kuinjoi na house boy kwa nguvu moja!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…