Mzee Benjamin Mkapa avichana Vyombo vya Habari Afrika

Mzee Benjamin Mkapa avichana Vyombo vya Habari Afrika

Kama kutangaza kumsusia Makonda,sijawahi ona uamuzi wa kipumbavu kama huo
Halafu wanalilia uhuru wa habari,wanataka uhuru wakati wao wanawaminyia habari wananchi,kisa wamegombana na mtu mmoja tu.Mwanasiasa haanguki kwa kususwa na vyombo vya habari
....Hoja ya kijinga sanaa hii. Ulitegemea mtu avamie media house for personal reasons halafu achekewe tuu. Si alikuwa anapenda kuuza sura kwenye media,tuone sasa!!
 
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mzee Benjamin Mkapa amevikosoa vyombo vya habari barani Afrika na haswa kusini mwa Jangwa la Sahari kwa kile alichosema vingi vimejikita katika kuripoti habari za kisiasa na matukio ya nani kafanya nini au kawa nani, badala ya kuripoti habari za uchumi za kuwasaidia wananchi.

Mzee Mkapa aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahijiano na na Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) ya nchini Ujerumani ambapo alisema kwenye vyombo vya habari vya Afrika kuna upungufu mkubwa wa wa habari za uchumi na maendeleo zilizofanyiwa utafiti wa kina.

“Tatizo moja kubwa la vyombo vya habari vya nchi za Afrika hasa hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara ni kwamba habari nyingi zinazopewa kipaumbele ni zile za kisiasa na zinazohusu nani ni nani na kafanya nini.”

“Kuna upungufu mkubwa wa habari za kiuchumi na maendeleo zilizofanyiwa utafiti wa kina na zinazochochea maendeleo. Kuna habari kidogo sana za utetezi wa kimaendeleo na kujipanga ili tupige hatua.”

Kufuatia hali hiyo, Mzee Mkapa alisema kuwa uhuru wa vyombo vya habari unaodaiwa kuwa umebanwa, unahusu vyombo vya habari ambavyo havina mchango kwenye maendeleo ya uchumi wetu zaidi ya kuzungumzia matokeo badala ya uchambuzi.

“Kwa hiyo, huo uhuru wa vyombo vya habari unaosema unabanwa unahusu kundi la vyombo vya habari ambavyo havina mchango wowote katika uchambuzi wa masuala ya uchumi utetezi wa maendeleo wala kwenye kujipanga kujitafutia maendeleo. Nasi ni taifa masikini linalohitaji kuendelea. Nadhani ni uamuzi sahihi.” alisema Mzee Mkapa.

Kauli hii ya Mzee Mkapa ilikuja baada ya kuulizwa kuhusu madai ya kuwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Pombe Magufuli inabana uhuru wa vyombo vya habari hali ambayo haikuwapo miaka ya nyuma.
Hapo nkapa alikiwa Keisha shusha mizinga mitatu ya gongo la kizungu
 
Bashite mnamuhusudu kama Mungu wenu huko CCM.

Amefanya kosa aombee msamaha acheni mahaba yaliyopitiliza na ya kutilia shaka kijinsia.
ndafu inatetea matendo ya mteule wake, anataka waandishi wa habari kwenye vichwa vya habari waandike mapambio ya Tanzania ya Uchumi wa Viwanda ambavyo havipo
Kosa lipi?
 
Kama kutangaza kumsusia Makonda,sijawahi ona uamuzi wa kipumbavu kama huo
Halafu wanalilia uhuru wa habari,wanataka uhuru wakati wao wanawaminyia habari wananchi,kisa wamegombana na mtu mmoja tu.Mwanasiasa haanguki kwa kususwa na vyombo vya habari

Siumuandike huyo makonda kwenye Magazeti yako kwani kunamtu amekunyima??

Makonda anaimpact gani kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida zaidi ya kutafuta kick na malight, front pages tu??
 
Kwa hiyo habari ya Bashite ndiyo habari ya kiuchumi ambayo wewe na mkapa mnaililia kwa mapovu??
Mie nimesema vyombo vya habari viache kulia kuminywa wakati vyenyewe vinawanyima watu habari.
Wananchi wana haki ya kupata habari iwe waandishi wana ugomvi na mtu au la.
Kutoandika habari za Makonda hakumuathiri chochote,anaendelea kupata mshahara na marupu rupu na yupo kwenye vx na kiyoyozi,lakini wananchi wamekosa habari tena ni kinyume cha katiba
 
Kama kutangaza kumsusia Makonda,sijawahi ona uamuzi wa kipumbavu kama huo
Halafu wanalilia uhuru wa habari,wanataka uhuru wakati wao wanawaminyia habari wananchi,kisa wamegombana na mtu mmoja tu.Mwanasiasa haanguki kwa kususwa na vyombo vya habari
Hujui tu alivyomiss font fed!Ona anavyohangaika kupiga selfie barabarani na kupost
 
Huyu mzee mstaafu bichwa kubwa akili kijiko.siasa ndio kila kitu huwezi kuongelea uchumi bila kuhusisha siasa kwa sababu siasa ina impact kwenye uchumi, jamii,kila kitu ni siasa.

Naona wana kutomuandika Mkullu maana ni siasa.
 
Mie nimesema vyombo vya habari viache kulia kuminywa wakati vyenyewe vinawanyima watu habari.
Wananchi wana haki ya kupata habari iwe waandishi wana ugomvi na mtu au la.
Kutoandika habari za Makonda hakumuathiri chochote,anaendelea kupata mshahara na marupu rupu na yupo kwenye vx na kiyoyozi,lakini wananchi wamekosa habari tena ni kinyume cha katiba

Makonda ni mwanasiasa wa CCM, kama unauchungu sana mwandike.
 
Kama kile kigazeti cha Tanzania daima miezi mitatu mfululizo Front page ni Bashite tu
Alafu hamna popote wanapokemea athari za madawa ya kulevya kwa jamii!!!

Alafu bado tambala la namna hii nao wanatoka mbele kujiita eti nao ni chombo cha habari!!

Shame on them

Madawa ya kulevya wanakemeaje??Hivi na ukubwa ulionao,umeaswa na wazazi wako tuache kubwa bado unataka tupoteze muda wa kukuandika!?
 
....Hoja ya kijinga sanaa hii. Ulitegemea mtu avamie media house for personal reasons halafu achekewe tuu. Si alikuwa anapenda kuuza sura kwenye media,tuone sasa!!
kwani mlishapata ya upande wa Makonda?au Tanapa mnahukumu tu
 
Huyu mzee mstaafu bichwa kubwa akili kijiko.siasa ndio kila kitu huwezi kuongelea uchumi bila kuhusisha siasa kwa sababu siasa ina impact kwenye uchumi, jamii,kila kitu ni siasa.

Uko changanya akili yako na familia yako yote hamfikii 2% ya Akili ya Ndugu Benjamin William Mkapa, uwe na adabu, Kigezo cha akili za Mtu sio kuzungumza unachokipenda!
 
Mie nimesema vyombo vya habari viache kulia kuminywa wakati vyenyewe vinawanyima watu habari.
Wananchi wana haki ya kupata habari iwe waandishi wana ugomvi na mtu au la.
Kutoandika habari za Makonda hakumuathiri chochote,anaendelea kupata mshahara na marupu rupu na yupo kwenye vx na kiyoyozi,lakini wananchi wamekosa habari tena ni kinyume cha katiba
Wapelekeni mahakamani kama wanavunja katiba!Kwani lazima aandikwe Makonda?
 
Huwez kutenganisha siasa na uchumi. Siasa inacontrol everything.
Politics is not about ''udaku'' anyway. If you want to bank on that as an argument. Headlines za magazeti ya kitz ni upupu tupu. Mbowe,Mbatia,Makonda,Kitwanga,Zitto , Ummy nk. It is all about individuals. Not issues.
 
Siumuandike huyo makonda kwenye Magazeti yako kwani kunamtu amekunyima??

Makonda anaimpact gani kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida zaidi ya kutafuta kick na malight, front pages tu??
Hahaaa!Makonda anapeta tu,hana shida ya kuandikwa na ikitokea basi anaandikwa na Habari leo na uhuru
Ikihitaji kufanya ziara,vipaza sauti vinatumika nyumba kwa nyumba.Wauza ngada tafuteni lingine
 
Mawazo yaliyochoka kuongoza huwa yako hivi yanachagua nini wengine wafanye kwaajili yao badala ya wao kuwajibika wamebweteka na wanataka kujilimbikizia madaraka kwa mgongo wa vyombo vya habari na viongozi uchwara kariba ya bashite..
 
Back
Top Bottom