Unasubiri mkuu!!..wakati mtt ana vimiezi ashatinga duniani..king kong kiguu na njia Wazo kwenda kulea!..aaah umechelewa sana!..ila tunasubiri tu picha tuone ile trademark ya King kong..nadhani sote tunaijua!Mimi nasubiri mtoto azaliwe ili nifananishe sura.
Cheupe dawa.......... Tehe he... heeee
Eti chama la wana tehTuhuma ni tuhuma tuu... Lakini kwangu tuhuma zisizothibitika wala kuthibitishwa zinabaki kuwa uzushi.... Na mimi sina kaliba na uzushi.... Sijui nini kilinipelekea kukumbuka riwaya ya Ngoswe... PENZI KITOVU CHA UZEMBE... Dah nikayakumbuka ya kudamka alfajiri na mapema kwenda kule kilimani kumuona cheupe dawa... Si adhabu hii jamani... Mateso bila chuki... Kiroho safi kabisa... Hongera mzee baba... Hongera cheupe....
Kuna wale wazee na kawimbo kao kalikokosa udhamini wa kuingia studio... Naambiwa singo yao ile haikidhi vigezo... Kale kawimbo ka MATEMBELE NI MATAMU.... Kweli Ngoswe aliona mbali... Na mtunzi wa MATEMBELE aliona karibu....
mzee baba huku kwenye chama la wana hali si shwari... Wanachonga waziwazi sasa hivi... Hawana shukrani na hawana upendo kwa wageni.. Kwao wao mgeni ni siku ya kwanza tuu... Sasa wnalalamikia uwingi wa wageni... Wenyewe wanawaita wakuja.. Wanawaita mizigo... Wanawaita wadekaji.... Hali si shwari sana pakacha limeanza kuvuja....
Mkubwa mpya wa usalama wetu Barabarani naye kaharibu... Japo ndio kutenda kwa weledi... Anapingana na dhana ya kukusanya mapato yetu ili kibubu kitune... Wanakaya wamemfurahia sana... Hakuna tena kutoza faini za kijinga... Kwahiyo hapa hakuna tena viwango elekezi vya kukusanya kwa siku wiki hata mwezi... Wanakaya wamepata mkombozi hatimaye... Mungu naye hujibu maombi kwa wakati wake....!!!!... Ila zile mbwembwe za jeshi la polisi kujivunia kuwa mwezi huu wamekusanya billion ngapi zitakoma.. Wao sio kitengo cha mamlaka ya mapato.. Faini za uonevu kwishney....
Mzee baba pakacha limeanza kuvuja... Wameanza kupambana na wewe... Mbwa anataka kula mbwa... Filamu ya half ray imedoda... Ile ya viongozi 20... Filamu ya nabii Tito imechacha.. Wanakung'ong'a.. Kikulacho ki nguoni mwako... Wasikupake mafuta kwa mgongo wa chupa..... Ni wanafique
Uliyasikia ya Benedict ? Yule mtia nia?
Uliyasikia ya Nnauye Jr?
Uliyasikia ya bwana Ole ?
Umeyasikia ya Riz moko?
Wote wametoa ya moyoni halafu wakakana lakini neno likitoka limetoka ni kama risasi haina rivasi.... Basi ndio hivyo mzee baba... Hao wote ni kiwakilishi cha wengi ndani ya chama la wana...pakacha limeanza kuvuja... Naamini halijasababishwa na Ngoswe.... Inatosha tu kusema.... MATEMBELE ni MATAMU....!!!!
That was comment of the day...Asilimia kubwa ya wasukuma hawana ujanja kwa akina "Cheupe Dawa" . Naota kuna babu Seya mwingine atakula mvua. Labda tu kama mwenye cheupe dawa awe mwoga,,ila akianza kufuatilia tu,,mtamsikia.
Nilikuwa nasubiria huu wimbo nifanye hitimisho! Hatari sana
Huyu ni msanii..nasikia ana donge zito kwa cheupe dawa..nasikia kabla... king kong alijichomeka kwake!..kabla ya kubadili gea angani baada ya kukiona kitu kina n'gaa kama madini ya vito!Akikutanaga na cheupe hubaki kupiga misonyo ya nguvu tu!..hana wa kumlaumu..jamii ya ma king kong..kwa kupenda ngozi nyeupe ni nomaa!Hahahhahahah unahatari sana kama mama huyu:
Huyu ni msanii..nasikia ana donge zito kwa cheupe dawa..nasikia kabla... king kong alijichomeka kwake!..kabla ya kubadili gea angani baada ya kukiona kitu kina n'gaa kama madini ya vito!Akikutanaga na cheupe hubaki kupiga misonyo ya nguvu tu!..hana wa kumlaumu..jamii ya ma king kong..kwa kupenda ngozi nyeupe ni nomaa!
"Trademark ya King Kong"Unasubiri mkuu!!..wakati mtt ana vimiezi ashatinga duniani..king kong kiguu na njia Wazo kwenda kulea!..aaah umechelewa sana!..ila tunasubiri tu picha tuone ile trademark ya King kong..nadhani sote tunaijua!
Tobaaaπ±π±π±π±π±π±Huyu ni msanii..nasikia ana donge zito kwa cheupe dawa..nasikia kabla... king kong alijichomeka kwake!..kabla ya kubadili gea angani baada ya kukiona kitu kina n'gaa kama madini ya vito!Akikutanaga na cheupe hubaki kupiga misonyo ya nguvu tu!..hana wa kumlaumu..jamii ya ma king kong..kwa kupenda ngozi nyeupe ni nomaa!
Umeficha ID yako lakini?Ni ndoto za alinacha, kuota mchanaaa mchanaaa....mchana mchana..
Waonekana pakacha, sio siri tena zaidi ya kudanganyana... Wajulikana pakacha sio siri tena cha kujivunia huna...
Magumu mambo magumuu.. Yameshakwendea kombo sasa utabeba takaaaa!
Nachombeza tu na kataarabu kangu hapo wakuu.. Msinikoti!
Inaweza ikaleta maanaDawa ni kumchana mzee baba kwa kupitia tweeter, then tunawasingizia wadukuzi kama alivyo fanya Riz1...[emoji12] [emoji12]
Kwani DaMange kasemaje...??