Duh!View attachment 938863
Halina mfanano hata kidogo!!
Kwetu hatuna hizo bilioni moja za kutoa kwa ajili ya "Ransom"!!Duh!
Alikuwa anaumwa nini eti!
Hahahahahaha mkuu kwani ndiyo mara ya kwanza kuchezea kichapo kwa timu yetu?Kocha ndio wa kulaumiwa... Silaha zote alikuwa nazo kwa upumbavu wake ameshindwa kuzitumia... Afukuzwe tu
Jamani timu yetu ilikuwa ishinde lakini alipoanza kuingia mhashimiwa tu gundu likaanza
Swa lakini hii ya juzi ilikuwa ni dhahiri kabisa tunashindaWewe naye gundu limeanza miaka kedekede mpaka rais Mwinyi akasema ni kichwa cha mwendawazimu
Thubutu yake tulishapigwa laana na mzee wa ruksa ya kuwa ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia hapo kunyoaSwa lakini hii ya juzi ilikuwa ni dhahiri kabisa tunashinda