Mzee baada ya kuibiwa nauli ndani ya daladala....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Jamaa alimuibia mzee nauli ktk daladala

Mzee: Jamani aloniokotea nauli yangu anirudishie, nisije nikafanya nilichofanya mwaka 1977.

Jamaa huku akitetemeka akarudisha halafu akauliza, "kwani mzee 1977 ulifanya nini?

Mzee: nilitembea kwa miguu kutoka mbagala mpka mwenge baada ya kupoteza nauli.
 
hangekua kijana katisha jamaa hacngeogopa ila sababu ya imani kuwa wazee wengi ni wachawi kjn akapata presha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom