Mzee Mwinyi amlaumu January Makamba kwa kutumia picha yake wakati huu

Ni baada ya kufanyiwa mahojiano na mwaandishi wa habari leo,mwenyekiti huyo we baraza la wazee wastaafu,ameonyesha kuchukizwa na waraka uliotolewa na makatibu wakuu wa zamani wa ccm ndugu Kinana na yudup makamba,amesema kwamba ni mambo ya kitoto hayo.
Kuhusu picha aliyo bandika January makamba kwenye mtandao wa Instagram, ikimuonesha makamba Jr na Mzee mwinyi wakicheka na kuwa kwenye furaha ya hali ya juu,imemchukiza sana mzee mwinyi kwani amedai si kipindi muafaka cha yeye kubandika hiyo picha waliyo piga kitambo sana.
Alihitimsha kwa kusema magufuli amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi cha miaka mitatu,kazi ambayo hawajaweza kuifanya marais watatu waliyo pita kwa miaka thelasini.
Je matamko haya ya mzee mwinyi ni kujisafisha na kujiondoa kwenye panga linalo washukia wazee wa mwambao na familiya zao?.
Mzee katishwa na katishika vibaya mno... Hataki rabsha na analinda kitumbua cha mwanae... Mzee anajaribu kufutika uvundo kwa kusifia yasiyosadikika
 
Nimesikia ukiwa mzee hata akili huruka sasa naanza kuamini.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kilichonifurahisha safari hii mzee kaja na msamiati mpya wa kuwa hakupenda picha hiyo kuwekwa katika " Maji yaliyokwisha korogeka", Mie wa huko Budalabujiga sijamwelewa kabisa.
Ungekuwa unaishi kando ya ziwa au bahari ukisikia "maji yaliyo korogeka " basi siku hiyo safari za majini hazifai badala yake ni kuzama kwa chombo
 
Ni baada ya kufanyiwa mahojiano na mwaandishi wa habari leo,mwenyekiti huyo we baraza la wazee wastaafu,ameonyesha kuchukizwa na waraka uliotolewa na makatibu wakuu wa zamani wa ccm ndugu Kinana na yudup makamba,amesema kwamba ni mambo ya kitoto hayo.
Kuhusu picha aliyo bandika January makamba kwenye mtandao wa Instagram, ikimuonesha makamba Jr na Mzee mwinyi wakicheka na kuwa kwenye furaha ya hali ya juu,imemchukiza sana mzee mwinyi kwani amedai si kipindi muafaka cha yeye kubandika hiyo picha waliyo piga kitambo sana.
Alihitimsha kwa kusema magufuli amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi cha miaka mitatu,kazi ambayo hawajaweza kuifanya marais watatu waliyo pita kwa miaka thelasini.
Je matamko haya ya mzee mwinyi ni kujisafisha na kujiondoa kwenye panga linalo washukia wazee wa mwambao na familiya zao?.
Yupo sahihi mzee
 
Anamuhofia huyo mwendawazimu kupita kiasi. Hajatia neno kuhusu akina kinana na makamba na barua yao bali picha yake! Ili ajioshe kwa jiwe.
Tena hao wazee ndio amewapa kubwa, January kamuongelea kwa busara sana
 
Ni baada ya kufanyiwa mahojiano na mwaandishi wa habari leo,mwenyekiti huyo we baraza la wazee wastaafu,ameonyesha kuchukizwa na waraka uliotolewa na makatibu wakuu wa zamani wa ccm ndugu Kinana na yudup makamba,amesema kwamba ni mambo ya kitoto hayo.
Kuhusu picha aliyo bandika January makamba kwenye mtandao wa Instagram, ikimuonesha makamba Jr na Mzee mwinyi wakicheka na kuwa kwenye furaha ya hali ya juu,imemchukiza sana mzee mwinyi kwani amedai si kipindi muafaka cha yeye kubandika hiyo picha waliyo piga kitambo sana.
Alihitimsha kwa kusema magufuli amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi cha miaka mitatu,kazi ambayo hawajaweza kuifanya marais watatu waliyo pita kwa miaka thelasini.
Je matamko haya ya mzee mwinyi ni kujisafisha na kujiondoa kwenye panga linalo washukia wazee wa mwambao na familiya zao?.
Ni ukweli mtupu...
 
Nilishasema tangu awali kuwa katika hili sakata Makamba na Kinana wako peke yao,kwani hili lichama limejaa wanafiki kama alivyoainisha Musiba.

Endelea kujidanganya kuwa hao wako peke yao. Na endelea kujidanganya zaidi kwa kuamini hali ndani ya ccm ipo ilivyokuwa. Jiulize hili swali: hizi siku za karibuni watu wote waliokuwa wanasema/kufanya mambo kwa kiburi na kujiamini imekuwaje wamekuwa kimya all of a sudden?
 
Maneno hayo kisha wai yasema hapo mwanzo hata kabla ya hili saga,

Mzee Mwinyi na Magu ni cheko LA kweli kama la Mkapa na Magu .

Hao wemgine katoo zao tu.
 
Mzee angesema tu hiyo picha ya zamani basi ila kuwekwa hiyo picha wakati huu kaona sio sawa kutokana na hali ilivyo ,ila akaona ni sawa tu wakati huu kumsifia Magufuli kwa kiasi kile na kuwaambia wazee wenzie kuwa wamefanya utoto. Hatujaona busara zake katika hili.
 
Mzee anabusara sana, dogo anataka kumharibia mwanae kitumbua, wakati Dr anapiga jaramba la kumrithi Dr.shain
 
Ameshasahau aliposema nchi inaendeshwa kama Gari bovu, haina mwelekeo, kwa sababu imebaki mwaka moja mwanae ateuliwe kuwania urais Zanzibar anajikomba kwa aliowakosoa.
 
Back
Top Bottom