Mzazi mwenzangu niliyetoka naye siku ya Christmas nimeachana naye, kumbe kuna jamaa alikuwa anatembea naye

Yes, tuna watoto wawili na wife. Huyo mzazi mwenzangu tumedumu kama 4 years, hivyo aliniaminisha yeye ni wangu. Ikitokea mtoto sio wangu sijui hali itakuwaje. Sidhani hata yeye atapenda iwe hivyo.
Hujatufahamisha mkuu ilikuwaje kuwaje hadi ukagundua anakusaliti na pia alijibu nini baada ya kumkamata redhanded weka situation wazi zaidi ili upate ushauri na msaada sahihi.. ila pole sana mkuu najua maumivu ya kuchapiwa
 
Nimebwaga manyanga rasmi kwa huyu mwanamke. Angeweza hata kuniua. Mie nilikuwa nahangaika naye kumbe kuna lijamaa lilikuwa linajilia tu na bado linajilia.

Wanawake ni makatili sana. Juhudi zote hizo za kum-care kumbe kuna kijamaa anatoka nacho behind my back.

Hata sikuamini kama anaweza kunifanyia hivi. Nilijitahidi kumtimizia alichohitaji kadri ya uwezo wangu lakini kumbe ilikuwa kazi bure.

I'm still in a shock. Kila nikifikiria naona kama naota vile. Nimepoteza hata mapenzi na mtoto wangu.

Naomba ushauri wenu jinsi ya kumhudumia mwanangu ingawa binafsi upendo juu ya mwanangu kama vile umepoa.


Mtoto sio wako weka 50/50 ukipata majibu ya DNA ndio uanze kujimwambafy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom