Wewe ni mwongo, kwenye kuajiri tunaangalia uwezo wa mtu ili kampuni iweze kutengeneza faida, biashara ni ushindani, rate ya watu kwenda uarabuni ni ndogo kuliko wanaotaka kwenda Amerika na Ukata, uarabuni bado siyo rafiki sana kwa waafrika kama nchi za magharibi. Pale Said Arabia ukionekana una Bible inafungwa. Kidogo Dubai ndo wamefanya mapinduzi ya kuruhusu imani zote lakini siyo miji yote ya Qartar