Mzaramo vs Msukuma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzaramo vs Msukuma.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, May 29, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Msukuma akiwa matembezini dar,alimkuta mzaramo anauza mananasi.mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo; (MSUKUMA):Jinga jinga? (MZARAMO):Kwenda huko!,mjinga mwenyewe,hivi nani mjanja kati ya mimi niliyezaliwa ocean road hospital na wewe uliyeingia dar kwa treni juzi tu? N.B(kwa kisukuma,jinga jinga?=shilingi ngapi ngapi?)
   
 2. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mzaramo hawezi kuwa mjanja mbele ya msukuma wewe.
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yaani nimecheka sana, you have made my day, thanx
   
Loading...