tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,494
Prince Charles wa Uingereza akimpongeza Prof Lubaina Himid, Muingereza mwenye asili ya Zanzibar baada ya kumtunukia tuzo ya Commander of the Most Excellent Order of the British Empire (CBE) kutokana na mchango wa Prof Lubaina kwenye sanaa ya uchoraji.Alishinda Tuzo hiyo mwaka 2017.