"Hatuibiwi kwenye mchanga, tunaibiwa kwenye sheria/mikataba" T. LissuUzalendo wa Tundu Lisu ni wa kutiliwa mashaka makubwa. Haiingii akilini hayo anayoyasema.
Baada ya kuiponda mikataba ya madini iliyopitishwa na Bunge sambamba na kutaka itenguliwe ama kubatilishwa kwani nchi inaingia hasara ya kuibiwa...
Lakini leo mzalendo huyu anasimama hadharani kuamua kwa dhati kuwatetea wanaoliangamiza Taifa letu. Hii haiba haikuanza leo, angalia anavyosimama na wale wote wanaomtukana ama kumdhalilisha rais, angalia alivyo simama kinyume na kampeni dhidi ya dawa za kulevya na hata leo amesimama kutetea wawekezaji ambao ushahidi kuwa wanatuibia umewekwa hadharani...
Unalipwa Tshs ngapi?
Unalipwa na nani?
Uzalendo wa Tundu Lisu ni wa kutiliwa mashaka makubwa. Haiingii akilini hayo anayoyasema.

"Hatuibiwi kwenye mchanga, tunaibiwa kwenye sheria/mikataba" T. Lissu
Kumbe kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!Uzalendo wa Tundu Lisu ni wa kutiliwa mashaka makubwa. Haiingii akilini hayo anayoyasema.
Baada ya kuiponda mikataba ya madini iliyopitishwa na Bunge sambamba na kutaka itenguliwe ama kubatilishwa kwani nchi inaingia hasara ya kuibiwa...
Lakini leo mzalendo huyu anasimama hadharani kuamua kwa dhati kuwatetea wanaoliangamiza Taifa letu. Hii haiba haikuanza leo, angalia anavyosimama na wale wote wanaomtukana ama kumdhalilisha rais, angalia alivyo simama kinyume na kampeni dhidi ya dawa za kulevya na hata leo amesimama kutetea wawekezaji ambao ushahidi kuwa wanatuibia umewekwa hadharani...
Unalipwa Tshs ngapi?
Unalipwa na nani?
Kwahiyo mikataba inaruhusu kudanganya"Hatuibiwi kwenye mchanga, tunaibiwa kwenye sheria/mikataba" T. Lissu

Yes nimekupata mkuu...We ng'ombe kuwa mwelewa kidogo huku kupunguza kiwango chako cha UBASHITE.
Tundu Lissu kasema magufuli alikuwa wapi wkt wapinzani wanatete watz kwa mikataba mibovu?
Magufuli hana moral authority kukemea wkt alikuwa mpiga makofi mkuu wkt mikataba mibovu inapitiswa......
Hata tunavoongea ccm wapo busy kutengenezea watz matatizo ili waje kujifanya wanatatua baadae.....
Hivi umeelewa maana Uzalendo? Nani kakosa uzalendo; CCM au LISU?Uzalendo wa Tundu Lisu ni wa kutiliwa mashaka makubwa. Haiingii akilini hayo anayoyasema.
Baada ya kuiponda mikataba ya madini iliyopitishwa na Bunge sambamba na kutaka itenguliwe ama kubatilishwa kwani nchi inaingia hasara ya kuibiwa...
Lakini leo mzalendo huyu anasimama hadharani kuamua kwa dhati kuwatetea wanaoliangamiza Taifa letu. Hii haiba haikuanza leo, angalia anavyosimama na wale wote wanaomtukana ama kumdhalilisha rais, angalia alivyo simama kinyume na kampeni dhidi ya dawa za kulevya na hata leo amesimama kutetea wawekezaji ambao ushahidi kuwa wanatuibia umewekwa hadharani...
Unalipwa Tshs ngapi?
Unalipwa na nani?
kwa usanii wa CHADEMA mzalendo pekee aliye baki ambae hajajiunga na chama chao ni mr B W MKAPA labda na KitwangaUzalendo wa Tundu Lisu ni wa kutiliwa mashaka makubwa. Haiingii akilini hayo anayoyasema.
Baada ya kuiponda mikataba ya madini iliyopitishwa na Bunge sambamba na kutaka itenguliwe ama kubatilishwa kwani nchi inaingia hasara ya kuibiwa...
Lakini leo mzalendo huyu anasimama hadharani kuamua kwa dhati kuwatetea wanaoliangamiza Taifa letu. Hii haiba haikuanza leo, angalia anavyosimama na wale wote wanaomtukana ama kumdhalilisha rais, angalia alivyo simama kinyume na kampeni dhidi ya dawa za kulevya na hata leo amesimama kutetea wawekezaji ambao ushahidi kuwa wanatuibia umewekwa hadharani...
Unalipwa Tshs ngapi?
Unalipwa na nani?
Kwa hiyo point yako na Lisu kwa Watz ni ipi sasa? Kwamba Magufuli aache tuendelee kunyonywa ama?We ng'ombe kuwa mwelewa kidogo huku kupunguza kiwango chako cha UBASHITE.