Anatamani aweke MTU wake wa kumfichia maovuKitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Awamu hii kumetokea nini wakati inajinasibu ni serikali ya wanyonge inayoendeshwa na mzalendo.
Nini wanaficha.
Kama huoni tatizo inawezekana wewe ndiyo tatizo lenyewe.Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?Kama huoni tatizo inawezekana wewe ndiyo tatizo lenyewe.
sterling ni mshamba sijui wafuasi wake wakoje, Naona wajanja akina Nyoka wa makengeza hawamsaidii kwenye zile mbinu zao za kijanja kuficha wizi wake.Kitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.
Ina maana serikali hii haina watu wenye uwezo wa kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha?
Anaserebuka na "nyegezi"Naibu spika ana maoni gani?
Anahamisha goli kama kawaida yao ilivyo.jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
yaani hawa jamaa ni balaaAnahamisha goli kama kawaida yao ilivyo.
"Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu". Zitto Kabwe.jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
Mikono yake ina uka damu za watanzania wasio na hatia, hakuna atakalolifanya likafanikiwasterling ni mshamba sijui wafuasi wake wakoje, Naona wajanja akina Nyoka wa makengeza hawamsaidii kwenye zile mbinu zao za kijanja kuficha wizi wake.
kila analofanya akijaribu kuficha anajikuta anakosea tena. ni kama kuna laana hivi inamfata.
Pale juu kuna mwizi asiyetumia akili bali mabavu tuKitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.
Ina maana serikali hii haina watu wenye uwezo wa kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha?
PPale juu kuna mwizi asiyetumia akili bali mabavu tuKitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.
Ina maana serikali hii haina watu wenye uwezo wa kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha?
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha