MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,759
- 71,779
Nitapataje ticketi ya hilo pambano
Umeandikiwa kuwa ni thamani ya dollar 25,000 ambayo ni sawa na tsh milion 30 ya kitanzania, unawaza nini? au njaa kali?
laki si pesa;Nitapataje ticketi ya hilo pambano.
mtafute Nyani Ngabu!
Hata kwa dola 5,000 nitatoa
Ngoja jamaa apige HeLa, Ni halali yake MTU anakaa kupractice daily, ogopa mtu kama huyu ambaye hamna anachoweza zaidi ya ngumi, jamaa hata kusoma hajui.. $25K kwa Maywether Ni ka anaweka vocha ya buku tu
Nitapataje ticketi ya hilo pambano
Sidhani kama zimebaki
cheki huyu inzi nae!!! We ndo umekurupuka kusoma post yake kudadadensa!!
mkuu mi nazo tiketi 3 njoo uchukue moja
Only in America:usa2:!
May 2 the earth will stop spinning on its axis.
I'm curious who will walk out Money May.
Will it be Miley Cyrus? Taylor Swift? Justin Bieber? Weezy? Or Young Thug?