the secrets of being![]()
![]()
Picha hii ya "mlima" wa gesi na vumbi angani ilinaswa na Space Telescope ya Hubble ikionesha "uumbaji" wa nyota mpya katika Carina Nebula. "Mlima" huu ni mkusanyiko wa nyota mpya zinazozaliwa katika mojawapo ya nebulae nyingi angani.
hivi nebula inaweza kuonekana in naked eyes?![]()