My X.nihurumie

Tokea november 2013 naona upuuzi umezidi humu jukwaani.

Uandishi wa mtu tuu, inaonekana ni mtoto wa sekondari na bado ana zile maongezi za watoto wa rika lake.🙄😡:banghead:
 
Asprin Mi naona na huu unafuu wa internet hadi viganjani jukwaa limeingiliwa na watoto sasa inabidi tukae mbali maana unaweza kuta uko na mkweo hau mwanao humu. hizi generation za divion 5 plus xaxa xema sweerie mi siziwezi lol.
 
I miss you...
 
msimlaumu...kajikubali alivyo.....tumshauri atoke huko.
 
mmmmh nawe ebu acha michepuko.
 
Hahahaaaa kwakweli nimeamini msemo wa rafiki yangu "usipo muoa bikira basi ujue umeuoa mpenzi wa mtu"
 
Hili taifa linakoelekea hata sijui.............
 
Idiot nyau
 
Heeee!!!!

Umepata wapi guts za kushinda siku nzima na ex wakati una mume hata kama yupo mbali?????

Mambo mengine yakitokea utamsingizia shetani ??????

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…