Kibongobongo hua tunapenda siku ukionana na X wako awe taabani, kapigika, maisha yamemnyoosha kapauka kama mhogo. Sasa unapokutana nae yuko safi na tabasamu tele roho huuma, na mbaya zaidi unakuta kapata partner bora zaidi dah hapo ndo huuma zaidi.
Kwa mleta thread, ushauri wangu huyo dada muache aendelee na maisha yake kwa mpenzi wake mpya. Wee ulichezea nafasi ijutie basi.