chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
We nawe acha kusumbua watu.
Jana ulianzisha thread kua una girlfriend ambae bado unampenda ila hataki kuwa na wewe. Jana hiyo hiyo mkarudiana. Jana hiyo hiyo umekutana na X wa tangu 2010 na leo hii simu zako hapokei na unamtaka.
UNABOA SASA. . . . usipotezee watu wengine muda na thread zisizo na mwelekeo.
We ndio useme kama umetumwa kupost.Umetumwa ukoment we bibie,mbona umepandisha presha kama umeachwa!.soma pita,atakae comment mwingine.Usijifanye unafuatilia sana thread zangu.
We ndio useme kama umetumwa kupost.
Hamna anaeweza kunipangia nich
angie au nisichangie, na ungetaka nisichangia ungeianzisha PM. Kuhusu kufuatilia hamna haja ya kufuatilia pumba, zikiwekwa kwenye maji zinaelea zenyewe.
Niliachana na GF wangu tangu mwaka 2010.Jana katika pitapita zangu,nikaingie kwenye hotel flan kupata moja mbili,kuangaza kwa mbele zaid nikamuona nae kakaa na marafik zake wa kike wanakula na kunywa,nkaona si vyema kwenda kumsalimia,tukaongea sana,kama hatukuachana vile,she was ful of hapnes..najuta hata kwa nini tuliachana..Tatizo linalonitatiza,aliniambia ana mchumba mwingine,but whenever i find her anapokea calls zangu,sms anajibu vizuri tu,sometimes najifanyaga kama napotezea namtext hallow sweet,anajibu pia kimapenzi hivyo hivyo.Huwaga namuomba ushauri wa mambo mbalimbali,ananijibu,sometimes natoka nae out,just for a talk,anakuja..The problem is,tangu nikae nae au ni meet nae,simu yake haiiti wala kupigwa..nashangaa huyo mwanaume alieniambia anae ham kei?,sa nyingine mpaka najifanya kumbip kama nimekosea namba inaita tena kwa loud kabisa..Wakuu,i still love her,sijamtongoza tena,nishaurini nimfuate tena?,maana she has been so kind mpaka namshangaa,nikimuuliza how is your bf,anasema,yuko poa kabisa,is giving you hey!.She is stil beautiful,educated one,descent,but nipo mtegoni,sijui yupo na mtu kweli?need your advice please.
Tuliza munkari,nini kushoboka,kama yamemkuta ndugu yangu mpaka nijifanye third party?,2lizana mwanamke.
Ntashobokaje na CRAP bana?
It might be you!
Aisee binti,mambo ya uswaz,sifagilii sanaaa,unshansoma?nikitamka neno basi.Nenda outin na bf wako basi,naona una stres huku jf.stak ujinga.
alaaaa.......kumbeeeee........
mnatakaga muone tunalia tukiwaona......tujigaregare chini......
au mnategemea mtuone tumechakaa kama tambara la deki.....
Umetumwa ukoment we bibie,mbona umepandisha presha kama umeachwa!.soma pita,atakae comment mwingine.Usijifanye unafuatilia sana thread zangu.