my x boyfriend ananitaka tena

my x boyfriend ananitaka tena

madam s

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
14
Reaction score
9
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?
 
kwa hiyo unataka tukwambie umrudie?

Haya mrudie haalafu atembee na ndugumzako wote uone raha...
 
Mrudie amalizie aliobakiza, ufurahie! umri wa kuolewa ni upi huo? kama shida nikuolewa weka tangazo jf au nipm nikuelekeze utakapo pata mume mwema.
 
my ex boyfriend!hili neno my hili kwa sisi wana sosholojia ya lugha manake hapa tayari u still need the guy
halafu unajustfy kabisa kuwa muda wa kuolewa umefika !
sasa mamii hebu usikilize moyo wako!hapa unatuzuga tu lakini ukweli unao mwenyewe na tayri ushauamua
UNAHITAJI RAKILI TU HAPA!
na siye hatuna rakili ya moyo wako mwali wangu!
 
my ex............mnxiuuuuh

haya we mkubali tu olewa naye!!!

akitembea na rafiki yako mwingine mtaliki!

akigundua tena kuwa ni muongo, akikupigia simu mrudie!!!

my ex...............mxiuuuuh!!
 
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?

Garagaza tupa kule!!! unataka afanye nini ili uelewe kwamba hakufai?
 
Achana naye anaye penda haendi kwingine afu akurudie tena, kupenda kwani mchezo :biggrin1:
 
"a man was born to die continuously and start afresh"...how about a woman?.... possibly vice versa of a man....
Do the math honey coz u know the drill.
 
Hana adabu huyo piga chini kabisa!!! Mh ila unaonekana upo vizuri **....... Jamaa kazunguka weee hatimaye kagundua aliacha kitu!! Hongera sana
 
kwani kakwambia anataka akuoe! au anataka mrudiene tu kama hapo awali!
 
mpe nafasi tena ndugu yangu najua atakuwa ameshajijutia sna ndani nafsi yake
 
hakuna cha kujifunza wala nini, nsharudiana na x mara mbili kwa kudhani amechange au ananpenda ndo maana karudi, usiwazie umri subiri ubarikiwe mwanaume anayekufaa huyo achana naye kabisa. Imekua kama fasheni ukiuliza wasichana hata watano hapo ulipo watakwambia wamepitia hali hiyo.
 
wewe kwanini hukupata mtu mwingine after one year? vipi lakini mambo unayaweza?
 
OK!
Ngoja nikupe insight from a mans point of view bibie, kama mimi nina uhusiano na wewe na ninakupenda kiukweli(even a slight regard of u as a human being) siwezi kamwe kukudhalilisha kiasi cha kutembea na rafiki yako!
Yani ntakuwa sikupendi kabisaaaaa! Labda kwako nataka kitu fulani tu and i see u more as an object of desire than a human being with feelings....
Now fikiria hivyo ndio huyo 'x boyfriend' anavyokuona then ujudge kama u want to spend the rest of ur life with him. Ama unataka divorce after he goes out with ur sister maybe?
 
my ex............mnxiuuuuh

haya we mkubali tu olewa naye!!!

akitembea na rafiki yako mwingine mtaliki!

akigundua tena kuwa ni muongo, akikupigia simu mrudie!!!

my ex...............mxiuuuuh!!

ahahahahahaaaa Paloma ...nlikuwa najiuliza mxiuuuuh maana yake nini!!?? Kumbe MSONYO huo...ahahahaa
 
Last edited by a moderator:
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?

Alikwambia alikuacha kwa sababu gani na anataka kukurudia kwa sababu zipi? Yaani wewe kwa sababu muda wa kuolewa umefika basi, akili yako imechanganyikiwa. Kwa nini uolewa na mtu ambaye ni malaya? Katembea na rafiki yako na wewe bado unamuona anafaa kuwa mume? Ni akili ya aina gani?
 
We mpe tu bana, kwanza sasa hivi atakuwa amepata experience zaidi kwa hiyo untaenjoi zaidi.
 
wewe dada usimpe huyo x wako first priority wakati yeye anakufanya option tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom