My World Without Women!

Once I become the president of republic of kusadikika mawaziri na vyeo vyote vya juu serikalini nawapa wakina mama! Hawana mawaaa wala ufisadi hawa.....! Ukiacha wachache kama mama Ann Mkapa! LOL
 
Once I become the president of republic of kusadikika mawaziri na vyeo vyote vya juu serikalini nawapa wakina mama! Hawana mawaaa wala ufisadi hawa.....! Ukiacha wachache kama mama Ann Mkapa! LOL

kama sie!!! haaaaaa Masa bana we nikiona mbaliii!!! nchi ya kusadikika itapata maendele fasta
 
kama sie!!! haaaaaa Masa bana we nikiona mbaliii!!! nchi ya kusadikika itapata maendele fasta

Najaribu kuimajini: ZD waziri mkuu, bht waziri wa fedha, carmel waziri wa mambo ya ndani, nyamayao mambo ya nje, Lily Flower jinsia, FL1 makamu wa rais! Halafu the president ndiyo Mpwa masa mwenyewe. Hebu jaribu kuhesabu, mimba ngapi hizo zitatokea hapo kwa mpigo? Nyie fanyeni masihara na masa, msije mkasema sijawaambia mapema.
 
Mkuu kumbuka shemeji ni auditor ana audit kila unachoandika mwambie XSPIN apunguze ukali wa maneno kidogo tusije haribu foundation yetu.

Nipatie na kasenksi kakukusupport
 
Mkuu kumbuka shemeji ni auditor ana audit kila unachoandika mwambie XSPIN apunguze ukali wa maneno kidogo tusije haribu foundation yetu.

Nipatie na kasenksi kakukusupport

HAhahahahah Shem

Nimetoa ile thanks yangu kwa Xpin nimerusha kwako!
 
Mchungaji, mpunguzie mwanakondoo wako adhabu. Ukiona vema nipe hata ualimu mkuu wa shule ya msingi ya kata iliyopo hata temeke vijijini.

Umepata Uhamisho Kutoka huko hadi kuwa Katibu tarafa ya Mbagala
 
HAhahahahah Shem

Nimetoa ile thanks yangu kwa Xpin nimerusha kwako!

hahaha! Nilifikiri ile adhabu ya kunipeleka Nangurukuru imetosha. Sasa hata senksi zinakula adhabu. Nguli nakudai senski moja. Twanga fasta kabla sijaanza kuchomoa! Hahaha! We ndio umenisababishia nikapata adhabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom