My Wife Jamani

Dah nitafute huu wimbo niusikilize tena.....BUY ME A ROSE

He works hard to give her all he thinks she wants
But it tears her apart ‘cause nothing’s for her heart
He pulls in late to wake her up with a kiss goodnight
If he could only read her mind, she’d say…

[CHORUS]

Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life

Now the days have grown to years of feelin’ all alone
As she sits and wonders if all she’s doin’ is wrong
‘Cause lately she’d try anything just to turn his head
Would it make a difference if she said, if she said…
[CHORUS]
Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life

[BRIDGE]
And the more that he lives the less that he tries
To show her the love that he holds inside
And the more that she gives the more that he sees
This is the story of you…and me
So I bought you a rose on the way home from work
To open the door to a heart that I hurt
And I hope you notice this look in my eyes
‘Cause I’m gonna make things right for the rest of your life
And I’m gonna hold you tonight, tonight
Do all those little things for the rest of your life
[CHORUS]
Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life

Finest, thanx for the song's lyrics. Such beautiful words! Haya, Shime wanaume wenzangu, tuyasome tena na tena na tena...kisha tuyafanyie kazi.

waoooh hadi raha...
keep it up amoeba...
for sure,she is luckiest woman to have you!:smile-big:
 
:A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:

To all WIVES out there..........................We really love YOU ......................Tunaomba Muamini hivyo....................haya mengine ni vijimambo tu!:A S 8::A S 8::A S 8:
 
Nimekaa hapa nafunguafungua kurasa, kila nikijitahidi kutoka JF nashindwa, nimepitia forum zote nimesoma na kuchangia thread na post ninazoona zinavuta, Nikasema wacha niingie humu, kuingia tu nimejikuta mawazo yanabadilika kabisa, nimemkumbuka sana mke wangu, nimempigia simu nimeongea naye lakn bado namuwaza. KUsema kweli nampenda sana huyu mama, sina hata maneno ya kumfafanulia-ila kwa vitendo tu anajua nampenda!....ah na huu wimbo toka niuweke alfajiri umeloop mpaka sasa, unanifariji sana. Unajua ni wimbo gani mkuu?

Buy Me a Rose-LutherVandross!

Ha haaaaaaaaaa, I like this. Keep it up Amoeba!!!!!!!!!!
 
Nimekaa hapa nafunguafungua kurasa, kila nikijitahidi kutoka JF nashindwa, nimepitia forum zote nimesoma na kuchangia thread na post ninazoona zinavuta, Nikasema wacha niingie humu, kuingia tu nimejikuta mawazo yanabadilika kabisa, nimemkumbuka sana mke wangu, nimempigia simu nimeongea naye lakn bado namuwaza. KUsema kweli nampenda sana huyu mama, sina hata maneno ya kumfafanulia-ila kwa vitendo tu anajua nampenda!....ah na huu wimbo toka niuweke alfajiri umeloop mpaka sasa, unanifariji sana. Unajua ni wimbo gani mkuu?

Buy Me a Rose-LutherVandross!

Congrats Amoeba for such a feeling to ur wife, God bless you and keep you to be like this forever!
Good!
 
Hello wakuu,
Unajua kwa sisi wabantu huwa hatukosi maneno ya kuongea! watu wakiona uko klozi sana na mamsapu watasema tuu....(kama baadhi wanavosema humu ndani, teh teh). Nispompenda mke wangu nitampenda nani sasa? Hata wanangu ntashindwa kuwapenda kama simpendi mama yao!, teh teh! Yeye ndy anafahamu ABC zangu. Amini mkuu nakuambia, kila nikiona mwanamke mzuri barabarani mzuka unahamia kwa wife! kama ni limbwata-hapo lilipo linafanya maisha yanakuwa mazuri sana! Amini nakwambia, anachakia kiasi kikubwa sana katika mafanikio yangu, IM REALY PROUD OF HER!
 
Yaani hapa nilipo Mama NyU yuko kwenye akili yangu! I love her because she is a Good Wife and Good Woman! Thank God for mama NYU
 
Nimekaa hapa nafunguafungua kurasa, kila nikijitahidi kutoka JF nashindwa, nimepitia forum zote nimesoma na kuchangia thread na post ninazoona zinavuta, Nikasema wacha niingie humu, kuingia tu nimejikuta mawazo yanabadilika kabisa, nimemkumbuka sana mke wangu, nimempigia simu nimeongea naye lakn bado namuwaza. KUsema kweli nampenda sana huyu mama, sina hata maneno ya kumfafanulia-ila kwa vitendo tu anajua nampenda!....ah na huu wimbo toka niuweke alfajiri umeloop mpaka sasa, unanifariji sana. Unajua ni wimbo gani mkuu?

so what!
kwa hiyo mkubwa we unaacha kufanya mambo sawasawa kwa kumuwaza mkeo!? Sasa kila m2 mahali unapoingia akawa anamuwaza mkewe tu unafikiri mambo yataenda humu duniani???
Usifikiri hata hao wavumbuzi wa mambo 2nayoyatumia kwa manufaa makubwa hata sasa kama akina ROBERT EINSTEIN, BRADIFORD HILLS n.k walikuwa kazi ni kuwawaza wake zao tu. Chapa kazi masuala ya malavidavi ni usiku na sio wakati wa kazi
 
Lol! Nimecheka sana,
Kumbe kumlav mke wangu wengine wanaumia. Hakyamungu kama unamaliza masaa 8 bila kumuwaza mkeo kuna tatizo....!
Kama unapata muda wa kuingia JF, tena forum ya malavidavi na kukosa muda wa kumuwaza mkeo kwa kisingizio cha kazi utakuwa mtu wa ajabu sana mkulu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom