my wife hataki nitumie internet

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
mambo jamn,ndo hivyo nimepigwa marufuku kutumia internet hapa msaada pls.
 
yeye nilimnyima ndo maana anataka na mm nisitumie ngoma iwe droo
 
Kweli wewe unafaa sana kwa kutengeza swali na kisha kujijibu. Nadhani baadae utakuja na jibu kuwa sababu ulizokuwa nazo wewe kumzuia ndio na yeye anazitumia kukuzuia.
 
Pole sana

Ulimzuia kwa sababu gani

Huenda sababu hizohizo ulizotumia naye anazitumia.
 
Pole sana

Ulimzuia kwa sababu gani

Huenda sababu hizohizo ulizotumia naye anazitumia.

amejiunga na mitandao km fb nk so kila wkt anakuwa anachat na watu bila sbbu za msng
 
sasa wewe ulimnyima yeye asitumie ila we ndo binadamu sana utumie?
 
Kweli wewe unafaa sana kwa kutengeza swali na kisha kujijibu. Nadhani baadae utakuja na jibu kuwa sababu ulizokuwa nazo wewe kumzuia ndio na yeye anazitumia kukuzuia.

ndo hvyo
 
Watu wengine wana akili nusu kikombe.
Dunia ya leo usitumie Internet, E-mails unapokeaje, taarifa mpya unazipataje?
Halafu ukitaka ku-google unafanyaje.

Yaani wakati Dunia inakwenda mbele kuna wengine wanarudi kinyumenyume!
 
Sasa naamini kizazi cha wanaume kinazidi kupungua
 
Hawa washamba ndio wanaoongoza kulalamika kuwa ajira zinachukuliwa na wakenya. Sasa wewe hata internet unaiogopa nani akuajiri?
 
umeonaeee nitatizo!
 
amejiunga na mitandao km fb nk so kila wkt anakuwa anachat na watu bila sbbu za msng

Kwani vipi kwa upande wako mkuu, hauko fb, jf nk

Any way mambo mengine ni so minor sio lazima jamii kujua issue kama hii, nadhani mtaelewana wenyewe ndani ya familia yenu.
 
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn
 
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn

Wewe ni MSHAMBA.

Nadhani imefika wakati JF ifikirie entry requirements...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…