My vote to Lowassa if I get answer to this question

My vote to Lowassa if I get answer to this question

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
1,204
Reaction score
333
Dear lowasa what of the leadership you're r fighting for? Is that the one fighting for your soul? Or your friends interests the ones that you’re running for?



God bless Tanzania.
 
Tumia lugha adhimu by a kiswahili .Lakini hata hivyo swali halina mantiki yeyote.
 
Kweli Kiingereza kilikuja na meli

Mheshimiwa Lowassa ingia ikulu ukaibadilishe elimu yetu,si ajabu aliyeandika hapa na yeye ana shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu fulani
 
Kura yangu kwa Lowasa kama atajibu swali hili ( My Vote to Lowasa if I get answer to this question) hahahahahahaaa hizi lugha za watu hizi jamani!!!!
 
Hahaha kweli ccm imeua elimu pamoja na kusoma lugha ya malkia kwenye shule za academy bado unachapia namna hiyo?
 
Mimi sio Lowasa na wala sio msaidizi wake ila napenda tuwe vitu vya maana si mradi swali
 
Jamani, hebu tuache ushabiki. Kuna aliemuelewa mleta mada anauliza nini..?
 
Back
Top Bottom