My Valentines Message

mtoto wa Musimo naona umekuja kivingine kwenye ushawishi wako ngoja aje mwenyewe akuambie maamuzi aliyoyachukua
Hahahahaaa nimeshamalizana naye, alisema kipindi sikuwepo ulikuwa unajisogeza sogeza
 
Hahaha BJ (hichi kifupisho nacho, kha!), labda hujamzoesha kumlegezea sauti. Kazoea akipokea simu unaanza na 'weeeh mwanaume!' Na sauti kaliii, ya juu simu anashkia mbali. Jaribu tena bwanaaa!

Ha ha..watu leo wamekazania BJ wanapenda wenyewe esp. hawa kaka zetu lol...hiki kifupisho hatari. Nitamjaribu tena baadae, I hope hakuwa juu ya kiuno halafu ananizingua:)) Kaniandikia sms kuomba msamaha, nimemwambia usijali ni vijimambo tu!..
 
Unaruhusiwa ku google kama unahisi ni forwarded, hiyo ni Musimo Jr trademark bhana. Tabu yenu nyie mnahisi kitu kizuri tu ni kucopy na kupaste kha!

Kweli bwana wakiona kitu kizuri wanafikiria eti ni copy and paste
 
This is why "NIMEKUDONDOKEA"
0023.gif

0013.gif
0021.gif
0019.gif
0009.gif
0013.gif
0015.gif
0010.gif
0018.gif

 
Mkuu wangu "KB"
vp mbona unatuiga watu na machungu yetu?

Ahh bana wapi aise
Nimemtafuta my Valentine wangu simuoni so naomba kutangaza tenda

Hahahahaa mkuu unapanda daladala la Tegeta wakati unaenda Mbagala?

Ahh nitafika tuu mkuu
nikifika mbagala nageuza kurudi mjini kutafuta la kwenda tegeta
Sijui nitakuwa nimechelewa

naomba tufanye kesho kutwa...kesho watu wengi sana....watatubana....

Kesho kutwa si Valentine itakuwa imeisha aise
Mi nataka wa kesho bana wacha tubanane hapo hapo na red roses na red carpet kwenye vile viwanja vile
 
ouuugh... Balimi laga.... be my sweet valentine 2morrow..japo siku hizi dau lako juuu...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom