My upcoming trip to Jordan

Aiseee kuna watu wakisoma hii wanaonijua mimi watasema mbona hawa wote kuna vitu kwao sio kipaumbele??

Umeongea fact tupu. Qs I said, it's a Matter of priorities. Mimi kuvaa kwangu hakuna umuhimu, out zisizo na msingi hazina umuhimu lakini I have to travel come holiday.

Hongera sana Kasie
 

Again, we are on the same lane...
 
Andaa documents zote muhimu. Next week zikiwa tayari nitafute nikuunganishe na mtu atakayehakikisha unapata passport ASAP. Gharama zote za pale uhamiaji zipo juu yangu. This is serious.
Kweli mkuu? Ila si nasikia ni hadi upeleke evidence ya wapi unaenda na nini unaenda kufanya kitu ambacho mimi sina na sijui napata wapi maana mimi nilikuwa nataka tu niwe nayo standby ili ikitokea safari yoyote ya kuenda nje iwe ni kutafuta visa tu lakini ndiyo hivyo nasikia bila hiyo evidence eti hawakupi passport na kitambulisho cha taifa tayari ninacho.
 
Daah hii comment imenifanya nihame nijikute niko Maldives
 
Nchi yetu hii bhana. Hebu msikilize jamaa anachokisema. Au ndio inabidi aongee kwa herufi kubwa???
 
Mkuu, nadhani sikukosea niliposema kuwa nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe yaani nikija kuwa na hela nahisi zitaishia kwenye kula na kusafiri tu na hata kwangu mimi nguo na viatu siyo kipaumbele ili mradi sitembei uchi wala peku.
Hahahahahahahahhahaha!

Mimi nlidhani all this time unataka ukiwa mkubwa uwe kama cute b !!!!

Dunia inakwenda kasi sana.
 
Daah hii comment imenifanya nihame nijikute niko Maldives
Tena huko Maldives sasa, wacha kabisa!!!! I am working on it. Flight from here ni around $1000 tu, or less sometimes as you can fly cheap to India halafu pale ukatafuta chatter fasta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…