Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,570
Heheh hivi Kili ni kutalii kweli kule au ni some sort of enduring test
Ngorongoro ni sehemu poa sana nadhani kuliko vivutio vyote vipo Tanzania ikifuatia Serengeti
Unaona sasa!Hatari sana. Ngoja nijichange tuone. Haiwezekani wazungu wanatoka huko kuja huku kutalii sisi tumeshangaa shangaa tu
Hakika penye nia pana njia mkuu.Nimepanga tu enda panda huo mlima na juzi mlimani city kwenye maonesho ya Utalii nilipata detaol zote
Na hili ndio lengo la huu uzi, si umeona mwenyewe kwamba inawezekana kabisa???Mkuu Safi umenipa pia matamanio kwenda jordan ngoja nijipange mwakani nifanye kweli...
Unaona sasa!
Halafu when you talk to them, wanakwambia kabisa kwamba Sisi tunaishi peponi
Mkuu ukienda USA Ulete mrejesho.Ila nishakaa kaa nchi kadhaa
Middle East 1
Asia 2
Afrika 2
Nchi ninazotamani enda
Egypt
Israel
Jordan
Qatar
Belgium
Thailand
Moroco
USA
Rwanda
Uganda
Saudi
Angola
Congo DRC
Brazil
Russia
Mhhh mkuu unatumia vigezo gani kuchagua nchi za kutembelea?? Uganda?? Congo DRC?? Qatar??? Why Belgium???Ila nishakaa kaa nchi kadhaa
Middle East 1
Asia 2
Afrika 2
Nchi ninazotamani enda
Egypt
Israel
Jordan
Qatar
Belgium
Thailand
Moroco
USA
Rwanda
Uganda
Saudi
Angola
Congo DRC
Brazil
Russia
Iende wapi tena????Ndio nilitaka kujua kama bado ofa yangu ipo.
Kama kuna uwezekano wa kwenda kuzipiga hizo story live huko Jordan ya nini kuanza kuzipiga kwenye simu?? Au mpaka uone picha za hotel yenyewe sio??Hautaki ukifika huko Jordan unipigie nikiwa USA tupige story?
But not gonna be tomorrow or the day after bro.Ukifanikiwa kufika visiwa vya HAWAII ni PM tuweze kuonana na kubadilishana mawili matatu.
Andaa documents zote muhimu. Next week zikiwa tayari nitafute nikuunganishe na mtu atakayehakikisha unapata passport ASAP. Gharama zote za pale uhamiaji zipo juu yangu. This is serious.Daah shukrani sana, keep on inspiring me bro nakuonea wivu ila ndiyo hivyo picha linaanza tu mimi passport sina na ninasikia ni ishu kupata kwa nchi yetu hii kwahiyo huwa naishia kufanya utalii wa ndani tu kwenye some national parks na historical sites na kutembelea bahari na milima ila Inshaallah Mungu akijalia I will work on my dreams.
Mhhh mkuu unatumia vigezo gani kuchagua nchi za kutembelea?? Uganda?? Congo DRC?? Qatar??? Why Belgium???
Duh! Mkuu kama ni issue ya ujirani basi hakikisha huwasahau Malawi, Mozambique, Burundi na wengine.Aibu sana unaishi Tanzania majirani zako hujawahi watembelea.
Belgium nataka enda Antwep kuona soko la Diamond
Qatar naenda angalia fursa
Uganda na Rwanda historia
Let me do the international kipindi hiki naweza (financially na physically). Itafika kipindi ntakuwa sipo katika position ya kufanya hizi tripsTry the northern circuit...
View attachment 1243676
You are the lady....
Inabidi uje ufanye sharing hizo mambo tuzidi kushajihishika aisee.