Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 98
- Thread starter
-
- #41
Ila kwangu mimi Cupcake ndio mwisho reli...hapo nimefika kabisa na mzigo nimeshusha....siambiwi wala sisikii la mtu....right Cuppy?
That's right cuppy!....
miye hao akina monica sijui Mya hawanitishi maana mimi i want to be like Warren buffet when i grow up!.....that is a MY MOTTO!
Hahahaha hiyo laini kwenye rangi ya kibuluu imetulia! LOL😀 Eti paycheck nyepesi hahahaha....
Hahahaha hiyo laini kwenye rangi ya kibuluu imetulia! LOL😀 Eti paycheck nyepesi hahahaha....
Kelly naona una goals za kuua mtu...yaani unataka kuwa kama "oracle of omaha".
YE...everything is possible and you got think and dream big...think outside the box....
I see that Kelly, you gotta make that major coin....
Totozi kali na hazina hiyana alafu nasikia independent gals/women hazipigi mizinga.......unataka Mungu awape nini tena watu wa majuu?Ebana ATL mambo yako tres bien!! Si unajua mazee summer ndio imeshaanza..yaani basi raha mustarehe tu! Yaani full kujiachia...
Wakati wa summer utaupenda huu mji mazee. Heheheheheee....I mean...hii ndio totoz capital ya Nyamwezi mazee....we acha. Kila kona...iwe mall.....iwe Walmart...iwe Target...iwe kwenye park...iwe gym...you name it...totoz kila kona na kila angle hadi unajiuliza hizi totoz huwaga zinatoka nje wakati wa summer tu au vipi....
Yaani mazee wakati mwingine huwaga naenda Walmart bila hata sababu yoyote....naenda kuangalia totoz...na wala hata siombi namba wala nini...ile kuziona tu mimi tosha kabisa....nnaridhika....
Ukienda anga za Phipps Plaza...hukawii kumwona Mya....ukivuka barabara kwenda Lenox...boom....LisaRaye huyo.....ukichukua Peachtree St. hadi Atlantic Station....gademu! unakutana na Monica.....
Raha sana mazee....
Totozi kali na hazina hiyana alafu nasikia independent gals/women hazipigi mizinga.......unataka Mungu awape nini tena watu wa majuu?
Oii oii mwafaidi saana......Wee acha tu babu...yaani totoz zina own condos kwenye ma high rise...zina own townhomes....hehehehehe
Halafu hazina mambo ya sijui Yo Yo ana hela...ooh sijui anaendesha mkoko gani....la muhimu ni wewe ukimmega siku ya kwanza na ya pili hakikisha unammega kweli kweli kama vile hakuna kesho....yaani baada ya hapo hata akikuwaza anachuruzika kule sehemu sehemu...Lol
Wimbo huu unaelezea vizuri sana hiyo dhana (ya independent woman).....YouTube - Ne-Yo ft. Jamie Foxx & Fabolous - She Got Her Own (Official Music Video) [HQ]
heheheSpeechless!!!!!!!
Kwa kuwa inajulikana kuwa corruption ni mbaya, ni vizuri hata kama unatamani, au unatamanishwa kujihusisha, ujishinde nafsi yako. Upigane nayo.
Mara zote mwili unatamani, inabidi ujizuie ukijua faida si yako kimwli, bali ya wale masikini ambao hawan nafasi kama yako.
Faida ya kujizuia kutoa au kupokea rushwa ni kujua unafanya jambo jema kwa hiari na maamuzi yako mwenyewe.
Ni hisia nzuri sana hasa pale unapukuwa umeshinda vishawishi vikubwa.
Ni muhimu Kelly, ujitahidi, usikate tamaa, maybe utateleza mara kadhaa, lakini simamia ukweli, kuwa rushwa nimbaya, na NI ADUI WA HAKI, hata wewe inaweza kukugeuka siku moja ukanyimwa haki yako, au hata ndugu yako.
Watanzania wengi wameshaipoke rushwa kama msaada, wa matatizo yao, mfano tanesco, hospitali, maji, tenda za mashuleni na serikalini nk, ukiweza kuoa rushwa ni faraja sana kwako na familia yako kwa haraka haraka, ila ukweli ni kuwa ni hasara kubwa zaidi.